Arithropodi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
No edit summary
Mstari 30:
** [[Trilobita]] ([[Trilobiti]])
}}
'''ArithropodiArthropodi''' ni kundi kubwa la wanyama wenye mwili wa pingili na miguu ya kuunga wasio na ugwe wa mgongo. Mifano ni [[wadudu]], [[nge]], [[buibui]] au [[kaa]]. Katika [[uainishaji wa kisayansi]] wamejumlishwa katika faila ya Arthropoda.
 
Wote huwa na [[kiunzi cha nje]] kinachoundwa na [[khitini]].
 
Wengi ni wadogo na spishi kubwa kabisa ni kaa ya Japani inayofikia uzito wa kilogramu 15-20. Lakini wana spishi nyingi sana wanapatikana kila sehemu ya dunia. Jointi za wadudu ni kama vipashio vilivyounganishwa kuleta mtirirko wa miili yao.
 
==Uainishaji==