Lugha : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Kiswahili, jamani!
No edit summary
Mstari 5:
Somo la lugha linaitwa [[maarifa ya lugha]] au [[isimu]].
== Maana ya neno "lugha" ==
Maana ya lughaLugha ni mfumo wa [[sauti]] za [[nasibu]] zenyezilizokua kuletakatika maanampango maalum na zilizo kubaliwazilizokubaliwa na [[jamii]] ya watu fulani ili zitumike kwa ajili yakatika [[mawasiliano]].
 
Mara chache neno lugha linatumika kwa taratibu za kuwasiliana za [[mnyama|wanyama]]. Lakini taratibu hizo ni tofauti sana: katika lugha za wanyama, [[sauti]] moja ina maana moja tu. Lakini katika lugha za binadamu, sauti nyingi zinaunganishwa kutengeneza [[Neno|maneno]], na maneno mengi yanaunganishwa kutengeneza [[sentensi]]. Hivyo mnyama ambaye anaweza kutengeneza sauti [[ishirini]] tofauti anaweza "kusema" mambo ishirini tu. Kwa upande mwingine mtu ambaye anaweza kutengeneza sauti ishirini, anaweza kusema mambo zaidi ya [[milioni]].
 
== Tabia za lugha ==