Jipe (Mwanga) : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d fixing dead links |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Jipe''' ni kata ya [[Wilaya ya Mwanga]] katika [[Mkoa wa Kilimanjaro]], [[Tanzania]]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 2,564 <ref>[http://www.meac.go.tz/sites/default/files/Statistics/Tanzania%20Population%20Census%202012.pdf Sensa ya 2012, Kilimanjaro - Mwanga DC]</ref> walioishi humo.
Kata iko karibu na [[Ziwa Jipe]]. Ndani ya kata kuna vijiji sita ambavyo ni Makuyuni, Kambi ya Simba, Butu, Kwa Nyange na Kivisi.
Diwani ya kata hii kwa mwaka 2010 alikuwa Hoseni aliyechukua madaraka kutoka kwa Twalb Kidaya.
==Marejeo==▼
{{marejeo}}▼
{{Kata za Wilaya ya Mwanga}}▼
▲==Marejeo==
{{mbegu-jio-kilimanjaro}}▼
▲{{marejeo}}
[[Jamii:Mkoa wa Kilimanjaro]]▼
▲{{Kata za Wilaya ya Mwanga}}
▲{{mbegu-jio-kilimanjaro}}
[[Jamii:Wilaya ya Mwanga]]
▲[[Jamii:Kata za Mkoa wa Kilimanjaro]]
|