Dinosauri : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Picha: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|af}} (9) using AWB (10903)
No edit summary
Mstari 14:
* Saurischia
}}
'''Dinosauri''' (kutoka [[Kigiriki]] δεινός, '' deinos – "yawa kutisha"'', σαῦρος, ''sauros - "mjusi"''; pia: '''dinosau, dinosari, dinosaria''') walikuwani [[jina]] la kundi la [[reptilia]] wakubwa sana walioishi [[duniani]] miaka mamilioni[[milioni]] kadhaa iliyopita.
[[Picha:Trex1.png|thumb|left|Kulinganisha ukubwa wa [[tiranosauri]] na [[binadamu]].]]
 
[[Wataalamu]] huamini ya kwamba dinosauri walitokea miaka milioni 230 iliyopita wakatoweka ghafla miaka 65 iliyopita. [[Ndege]] hutazamiwahutazamwa kuwa katika [[nasaba]] ya dinosauri.
 
Ujuzi kuhusu [[wanyama]] hao unatokana na [[visukuku]] vyao (mabaki ambayo yamekuwa [[mawe]]) kama vile [[mfupa|mifupa]], [[wayo|nyayo]], ma[[yai]] au [[samadi]]. Visukuku vya dinosau vimepatikana kwenye ma[[barbara]]a yote, hata [[Antaktika]], kwa sababu waliishi wakati mabara yote yalikuwa bado pamoja kama bara kubwa asilia la [[Pangaia]].
 
==Spishi zao==
Hadi sasa [[spishi]] 500 zimegundulika na idadi ya spishi zilizotambuliwa inazidi kuongezeka.
 
Line 33 ⟶ 34:
Wengine wakubwa waliishi [[bahari]]ni kama [[ikhtiosauri]] na [[plesiosauri]]; hata hao walikuwa kundi lingine.
 
=== Picha ===
Picha zifuatazo zinaonyesha kwanza visukuku vya kweli vya dinosau halafu [[uchoraji]] au [[sanamu]] zinazoonyesha jinsi gani wataalamu wanadhani mnyama alionekana.
<gallery>
image:Triceratops Struct.jpg|Kiunzi cha triseratopsi
Line 45 ⟶ 46:
image:SeismosaurusDB.jpg|Uchoraji wa diplodoko
</gallery>
 
==Viungo vya nje==
{{commonscat|Dinosauria}}
 
{{mbegu-mnyama}}
{{mbegu-biolojia}}
{{commonscat|Dinosauria}}
<!-- interwiki -->
 
[[Jamii:Reptilia| ]]