Open main menu

Changes

376 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
{{Juni}}
Tarehe '''9 Juni''' ni [[siku]] ya 160 ya [[mwaka]] (ya 161 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 205.
 
== Matukio ==
* [[1534]] - [[Jacques Cartier]], [[Mzungu]] wa kwanza kugunduakufikia [[mto]] wa [[St. Lawrence (mto)|St. Lawrence]]
* [[1815]] - Mwisho wa [[Mkutano wa Vienna]] uliorekebisha hali ya [[siasa]] ya [[Ulaya]]
* [[1856]] - [[Wamormoni]] 500 wanatoka [[mji]] wa [[Iowa City]] katika jimbo la [[Iowa]] na kuelekea [[magharibi]] kwenda mji wa [[Salt Lake City]] katika jimbo la [[Utah]] wakibeba [[mali]] zao zote kwenye mikokoteni
* [[1989]] - [[George Beadle]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Tiba]] mwaka wa [[1958]]
* [[2007]] - [[Achieng Oneko]], mwanasiasa wa [[Kenya]]
 
==Sikukuu==
[[Wakristo]] wengi, wakifuata [[mapokeo ya Roma]], huadhimisha [[kumbukumbu]] ya [[mtakatifu]] [[Tekla mfiadini]], ya mtakatifu [[Efrem wa Syria]], [[shemasi]] na [[mwalimu wa Kanisa]], na ya mtakatifu [[Kolumba]], [[abati]]
 
==Viungo vya nje==
{{commons|June 9|9 Juni}}
* [http://news.bbc.co.uk/onthisday/hi/dates/stories/june/9 BBC: On This Day]
* [http://canadachannel.ca/todayincanadianhistory/index.php/June_9 Today in Canadian History]
{{mbegu-historia}}
 
{{DEFAULTSORT:Juni 9}}
[[Jamii:Juni]]