Shamba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Shamba''' ni eneo la ardhi ambalo limetengwa kwa ajili ya shughuli za kilimo kwa lengo la kuzalisha mazao ya chakula na mazao mengineyo; ni kitu cha msingi k...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 13:59, 29 Mei 2016

Shamba ni eneo la ardhi ambalo limetengwa kwa ajili ya shughuli za kilimo kwa lengo la kuzalisha mazao ya chakula na mazao mengineyo; ni kitu cha msingi katika uzalishaji wa chakula.

Neno hili linatumika kwa vitengo maalamu kama vile mashamba ya nafaka, mashamba ya mbogamboga, mashamba ya matunda, mashamba ya ufugaji wa ng'ombe wa maziwa,mashamba ya ufugaji wa nguruwe na mashamba ya ufugaji wa kuku, na ardhi inayotumika kwa uzalishaji wa ufumwele asili, nishati ya mimea na bidhaa ntinginezo.

Inahusisha ranchi, mashmba makubwa na bustani pamoja na ardhi.