Tishu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Tishu''' ni mkusanyiko wa seli za aina moja ambazo kwa amoja hufanya kazi maalum.Kisha viungo vinaundwa kwa muunganiko wa tishu mbalimbali. Somo linalohusik...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 14:37, 29 Mei 2016

Tishu ni mkusanyiko wa seli za aina moja ambazo kwa amoja hufanya kazi maalum.Kisha viungo vinaundwa kwa muunganiko wa tishu mbalimbali.

Somo linalohusika na tishu linajulika kama histolojia au, katika uhusiano na magonjwa hujulikana kama histopatholojia.