Utawala : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Utawala''' (kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]]) ni [[mamlaka]] na [[haki]] ya kuongoza. Ni jambo lisiloepukika katika [[maisha]] ya pamoja ya [[binadamu]].
 
Utawala umejitokeza kwa namna nyingi katika ngazi mbalimbali katika [[historia]] ya [[dunia]].
Mstari 5:
Kwa mfano, utawala unaweza kuwa wa kisiasa juu ya nchi au [[kabila]] katika [[jamii]] husika.
 
==Katika dini==
Wengi wanakubali kwamba utawala ni hasa sifa ya [[Mungu]] katika [[maongozi ya Mungu|maongozi]] yake ya [[ulimwengu]] [[Uumbaji|aliouumba]].
 
Katika [[Biblia]] ni hasa [[Yohane Mbatizaji]] na [[Yesu]] waliotangaza ujio wa [[utawala wa Mungu]] kama kiini cha [[ujumbe]] wao.
 
{{mbegu}}