Njombe (mji) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Kipala alihamisha ukurasa wa Wilaya ya Njombe Mjini hadi Njombe (mji)
No edit summary
Mstari 12:
|subdivision_type2 = [[Wilaya za Tanzania|Wilaya]]
|subdivision_name2 = [[Wilaya ya Njombe Mjini]]
|wakazi_kwa_ujumla = 130,223 katika eneo la halmashauri
|latd=9 |latm=20 |lats=00 |latNS=S
|longd=34 |longm=46 |longs=00 |longEW=E
|website =
}}
[[File:Church in Njombe, Tanzania.jpg|thumbnail|left|Kanisa Kuu katoliki Njombe Mjini]]
'''Njombe''' ni [[mji]] mwenye halmashauri na hivyo hadhi ya [[wilaya]] katika [[Mkoa wa Njombe]] nchini [[Tanzania]]. Ni pia [[makao makuu]] ya [[Mkoa wa Njombe]] na [[Wilaya ya Njombe Vijijini]].
 
'''Njombe''' niiko kwenye kimo cha mita 2000 [[mjijuu ya UB]] mwenyekweny halmashaurie nasehemu hivyoya hadhimasahriki ya [[wilaya]]milima katikaya [[MkoaKipengere wana Njombe]]tabianchi nchinini [[baridi kiasi<ref name="Tanzania]]. Nitravel piaguide">{{cite [[makaobook|title=Tanzania makuu]]travel yaguide|date=June Mkoa2015|publisher=Lonely waPlanet|page=271|edition=6|isbn=978-1742207797|accessdate=12 Njombe,January 2016}}</ref>. Mji iko takriban kilomita 200 kusini mwa [[Iringa]] na kilomita 150 upande wa kaskazini-mashariki mwa [[Mbeya]].
 
Hadi mwaka 2012 kata za mji wa Njombe zilikuwa sehemu ya Wilaya ya Njombe ya awali; baadaye Njombe Mjini na [[Wilaya ya Njombe Vijijini]] zilitengwa kuwa halmashauri mbili za pekee. Kabla ya kugawiwa eneo la Njombe ilikuwa sehemu ya [[Mkoa wa Iringa]].
Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, wilaya hii ya Njombe mjiniMjini ilikuwa na wakazi wapatao 130,223 waishio humo. <ref>[http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Njombe Region – Njombe Town-Council]</ref>
 
Wenyeji ni hasa [[Wabena]].
 
==Usafiri==
Eneo la Yakobi katika mji wa Njombe linatunza jina la kituo cha Wamisionari Wajerumani waliofika hapa mnamo mwaka 1899. Wakati wa [[Vita ya Majimaji]] kituo cha Yakobi kilishambuliwa na kikosi kilichoongozwa na chifu Mbeyela.<ref>[https://books.google.com/books?id=OjjKNNeu6cwC&pg=PA241&dq=njombe&hl=de&sa=X&ved=0ahUKEwiFo_n6-K7JAhVBJw8KHazRCsYQuwUIXDAH#v=onepage&q=njombe&f=false Seth I Nyagava, "Were the Bena traitors? Majimaji in Njombe..", mlango wa 7 katika "Maji Maji: Lifting the Fog of War", James Leonard Giblin, Jamie Monson BRILL, 2010; hapa uk. 247]</ref>
Barabara ya lami kutoka [[Makambako]] kwenda [[Songea]] inapita mjini. <ref>{{cite web|title=Njombe Roads Network|url=http://tanroads.go.tz/uploads/documents/en/1446621691-Njombe.pdf|website=Tanroads|accessdate=14 February 2016}}</ref> Kituo cha karibu cha treni za [[TAZARA]] iko [[Makambako]].
 
 
==Dini==
Njombe ni makao makuu ya [[Dayosisi ya Kusini KKKT]] ya [[Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania]] na pia ya [[Jimbo Katoliki la Njombe]] ya [[Kanisa Katoliki Tanzania]]. Kuna pia makanisa mengine na msikiti.
 
Eneo la Yakobi katika mji wa Njombe linatunza jina la kituo cha Wamisionari Waluteri Wajerumani waliofika hapa mnamo mwaka 1899. Wakati wa [[Vita ya Majimaji]] kituo cha Yakobi kilishambuliwa na kikosi kilichoongozwa na chifu Mbeyela.<ref>[https://books.google.com/books?id=OjjKNNeu6cwC&pg=PA241&dq=njombe&hl=de&sa=X&ved=0ahUKEwiFo_n6-K7JAhVBJw8KHazRCsYQuwUIXDAH#v=onepage&q=njombe&f=false Seth I Nyagava, "Were the Bena traitors? Majimaji in Njombe..", mlango wa 7 katika "Maji Maji: Lifting the Fog of War", James Leonard Giblin, Jamie Monson BRILL, 2010; hapa uk. 247]</ref>
 
==Marejeo==