Ukristo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 1:
[[Picha:Reden SIMON tor.jpg|thumb|right|350px| ''[[Sanamu ya Kristo mkombozi]]'' huko [[Rio de Janeiro]] ([[Brazil]]) ni [[sanamu]] ya [[Yesu]] kubwa kuliko zote zilizopata kutengenezwa.]]
{{Ukristo}}
'''Ukristo''' (kutoka neno la [[ Kigiriki]] Χριστός, Khristos, ambalo linatafsiri lile la [[Kiebrania]] מָשִׁיחַ, Māšîăḥ, linalomaanisha "Mpakwamafuta" <ref>Neno "Mkristo" (Χριστιανός) lilitumika mara ya kwanza kuhusiana na wafuasi wa Yesu katika [[mji]] wa Antiokia [Mdo 11:26] mwaka [[44]] [[BK]]. Wenyewe walikuwa wanajiita "ndugu", "waamini", "wateule", "watakatifu". Katika mazingira ya [[Kisemiti]] waliendelea na bado wanaendelea kuitwa "Manasara", yaani "Wanazareti" kutokana na jina la [[kijiji]] alikokulia Yesu. Kumbukumbu ya kwanza ya mwandishi ya neno "Ukristo" (Χριστιανισμός) ni katika barua za [[Ignas wa Antiokia]], mwaka [[100]] hivi. See Elwell/Comfort. Tyndale Bible Dictionary, pp. 266, 828.</ref>) ni [[dini]] inayomwamini [[Mungu]] pekee<ref>Taz. Catholic Encyclopedia (article "Monotheism"); William F. Albright, From the Stone Age to Christianity; H. Richard Niebuhr; About.com, Monotheistic Religion resources; Kirsch, God Against the Gods; Woodhead, An Introduction to Christianity; The Columbia Electronic Encyclopedia Monotheism; The New Dictionary of Cultural Literacy, monotheism; New Dictionary of Theology, Paul, pp. 496–99; Meconi. "Pagan Monotheism in Late Antiquity". p. 111f.</ref> kama alivyofunuliwa kwa [[Waisraeli]] katika [[Agano la Kale]] na hasa na [[Yesu Kristo]], [[mwanzilishi]] wake, katika [[karne ya 1]].