Bahari Nyeupe : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
[[Picha:Modis white sea.jpg|thumb|Picha za Bahari Nyeupe jinsi inavyoonekana kutoka angani]]
 
'''Bahari Nyeupe''' ni [[bahari ya pembeni]] ya [[Bahari Aktiki]] upande wa kaskazini ya Urusi ya kiulaya ikipakana na mikoa ya [[Murmansk Oblast]], [[Karelia]] na [[Arhangelsk Oblast]]. Inazungukwa na nchi kavu pande tatu hivo ni kama ghuba kubwa la [[Bahari ya Barents]]. Eneo lake ni 90,800 [[km²]].
 
Bandari muhimu ni [[Arkhangelsk]]. Kupitia mito na mifereji kuna njia za maji hadi [[Bahari Baltiki]] na [[Bahari Nyeusi]].
 
{{fupi}}