Mto : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 26:
 
== Beseni ==
[[Picha:Karte der Einzugsgebiete der großen Gewässer Afrikas.png|thumb|300px|Ramani ya beseni kubwa kwenye bara la Afrika ''(tahajia ya Kijerumani)'']]
Jumla ya eneo ambako tawimito yote hadi vijito asilia kabisa zinaanza na kupokea maji yao huitwa [[beseni ya mto]]. Sehemu kubwa ya Tanzania ya kaskazini-magharibi pamoja na Kenya magharibi ni sehemu ya beseni ya [[Nile]] kwa sababu matone ya mvua kama yanafika mtoni yote huelekea ziwa [[Viktoria Nyanza]] na kuingia mto Nile kwenda bahari ya [[Mediteranea]].