Mto : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 9:
 
== Mdomo na delta ==
[[Picha:Nile River and delta from orbit.jpg|thumb|right|300px|Delta ya [[Mto Nile]] inavyoonekana kutoka angani - picha ya [[NASA]]]]
Mwisho wa mto huitwa mdomo. Mdomoni kwa kawaida mto huishia katika gimba kubwa zaidi ya maji, ama mto mkubwa au [[ziwa]] au [[bahari]].
Mdomo huu unaweza kuwa pana kama kijazio hasa baharini ambako bahari inapanuka wakati wa [[maji kujaa]].