Wafransisko : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Stigmata.jpg|thumb|right|200px|Fransisko wa Asizi akijaliwa [[madonda ya Yesu]] juu ya mlima [[La Verna]].]]
'''Wafransisko''' ni [[jina]] la jumla la wafuasi wote wa [[Fransisko wa Asizi]] wanaokadiriwa kuwa [[milioni]] moja hivi [[duniani]] kote.
 
==Historia==
Mstari 9:
Matawi hayo yakaja kuitwa Utawa wa Kwanza, wa Pili na [[Utawa wa Tatu wa Mt. Fransisko|wa Tatu wa Mt. Fransisko]].
 
Mapema zilitokea tofauti za mitazamo kuhusu [[karama]] halisi ya Mt. Fransisko, hivyo matawi yalianza kugawanyika, hasa kwa nia ya [[urekebisho]].
 
==Hali ya sasa==
Siku hizi kuna mashirika ya kitawa [[mia]] [[nne]] hivi yanayofuata mojawapo ya [[kanuni]] zilizokubaliwa na ma[[papa]] kwa matawi hayo.
 
Katika ngazi ya kimataifa, Wafransisko wa [[Kanisa Katoliki]] wana [[Baraza la Familia ya Kifransisko]] ambalo lina uwakilishi katika [[Umoja wa Mataifa]] kama [[Asasi Isiyo ya Kiserikali]] iliyo kuu kuliko zote.