Kitsonga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Kitsonga''' (pia Kishangaan) ni [[Lugha za Kibantu|lugha ya Kibantu]] nchini [[Msumbiji]], [[Afrika Kusini]] na [[Zimbabwe]] inayozungumzwa na [[Watsonga]]. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kitsonga katika nchi zote imehesabiwa kuwa watu 3,669,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa [[Malcolm Guthrie]] Kitsonga iko katika kundi la S50.
 
== Viungo vya nje ==
* [http://multitree.org/codes/tso lugha ya Kitsonga kwenye Multitree]
* [http://llmap.org/languages/tso.html ramani ya Kitsonga]
*[http://www.language-archives.org/language/tso makala za OLAC kuhusu Kitsonga]
*[http://glottolog.org/resource/languoid/id/tson1249 lugha ya Kitsonga katika Glottolog]
*http://www.ethnologue.com/language/tso
 
== Nakala mfano ==
Line 24 ⟶ 16:
:kambe u hi ponisa eka Lowo biha,
:Amen.
 
== Viungo vya nje ==
* [http://multitree.org/codes/tso lugha ya Kitsonga kwenye Multitree]
* [http://llmap.org/languages/tso.html ramani ya Kitsonga]
*[http://www.language-archives.org/language/tso makala za OLAC kuhusu Kitsonga]
*[http://glottolog.org/resource/languoid/id/tson1249 lugha ya Kitsonga katika Glottolog]
*http://www.ethnologue.com/language/tso
 
{{mbegu-lugha}}