Tofauti kati ya marekesbisho "26 Juni"

371 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
no edit summary
d (rekebisha viungo using AWB)
{{Juni}}
Tarehe '''26 Juni''' ni [[siku]] ya 177 ya [[mwaka]] (ya 178 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 188.
 
== Matukio ==
* [[1945]] - [[Umoja wa Mataifa]] unaanzishwa [[mji]]ni [[San Francisco]] na kuchukua nafasi ya [[Shirikisho la Mataifa]]
* [[1541]] - [[Francisco Pizarro]], aliyevamia [[Peru]] na kuharibu [[Dola]] la [[Inka]], anauawa mjini [[Lima]]
* [[1943]] - [[Karl Landsteiner]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Tiba]] mwaka wa [[1930]])
* [[1975]] - Mtakatifu [[Josemaría Escrivá]], [[padri]], [[mwanzilishi]] wa [[Opus Dei]] kutoka [[Hispania]]
* [[2007]] - [[Amina Chifupa]], [[mbunge]] wa [[Tanzania]]
 
==Sikukuu==
[[Wakristo]] wengi, wakifuata [[mapokeo ya Roma]], huadhimisha [[kumbukumbu]] ya [[watakatifu]] [[Yohane na Paulo]], [[wafiadini]], na ya mtakatifu [[Yosefu Maria Escrivà|Yosefu Maria Escriva]], [[padri]]
 
==Viungo vya nje==
{{commons|June 26|Juni 26}}
* [http://news.bbc.co.uk/onthisday/hi/dates/stories/june/26 BBC: On This Day]
* [http://canadachannel.ca/todayincanadianhistory/index.php/June_26 Today in Canadian History]
{{mbegu-historia}}
 
{{DEFAULTSORT:Juni 26}}
[[Jamii:Juni]]