Hanse : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Njia za Hanse.jpg|thumb|right|280px|Miji muhimu na njia kuu za biashara ya Hanse]]
[[Picha:Adler von Lübeck.jpg|thumb|right|280px|"Adler von Lübeck" ilikuwa manowari ya Hanse 1566-1588 na meli kubwa duniani wakati wake]]
'''Hanse''' ([[Kijerumani]]:''die Hanse'', [[Kiholanzi]]: ''de Hanze'',[[Kisweden]]: ''Hansan'', [[ing.]] ''Hanseatic League'') ilikuwa shirikisho la miji ya biashara katika Ulaya ya Kaskazini na hasa ushirikiano wa wafanyabiashara wa miji hii.
 
== Ushirikiano wa kusaidiana ==