Hanse : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
 
Mstari 16:
Ndani ya Ujerumani ni miji ya Hamburg na Bremen pekee iliyoweza kutetea uhuru wao wa kisiasa hadi mwaka [[1871]] ilipojiunga na Wajerumani wengine katika [[Dola la Ujerumani]]. Humo ilihifadhi cheo cha miji ya ya kujitawala na hadi leo hii ni Hamburg na Bremen ni majimbo mawili katika [[Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani]].
 
== HanseMiji leoya Hanse ==
Miji ifuatayo ilikuwa wanachama wa Hanse ya zamani na inaendelea kutumia jina la "mji wa Hanse" hadi leo hii: