Tofauti kati ya marekesbisho "5 Julai"

292 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
d (→‎Viungo vya nje: rekebisha viungo using AWB)
{{Julai}}
Tarehe '''5 Julai''' ni [[siku]] ya 186 ya [[mwaka]] (ya 187 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 179.
 
== Matukio ==
* [[1962]] - Nchi ya [[Algeria]] inapata [[uhuru]] kutoka [[Ufaransa]]
 
== Waliofariki ==
* [[1539]] - [[Mtakatifu]] [[Antonio Maria Zaccaria]], [[padri]] [[mwanzilishi]] wa [[Wabarnaba]]
* [[1927]] - [[Albrecht Kossel]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Tiba]] mwaka wa [[1910]]
* [[1966]] - [[Georg von Hevesy]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Kemia]] mwaka wa [[1943]]
* [[1969]] - [[Tom Mboya]], mwanasiasa wa [[Kenya]], aliuawa
 
==Sikukuu==
[[Wakristo]] wengi, wakifuata [[mapokeo ya Roma]], huadhimisha [[kumbukumbu]] ya [[mtakatifu]] [[Antonio Maria Zaccaria]], [[padri]]
 
==Viungo vya nje==
{{commons|July 5|Julai 5}}
* [http://news.bbc.co.uk/onthisday/hi/dates/stories/july/5 BBC: On This Day]
* [http://canadachannel.ca/todayincanadianhistory/index.php/July_5 Today in Canadian History]
{{mbegu-historia}}
 
{{DEFAULTSORT:Julai 05}}
[[Jamii:Julai]]