Vienna : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Viungo vya Nje: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|bar}} (4) using AWB (10903)
Mstari 59:
 
== Utamaduni ==
[[Picha:Wien - Stephansdom (1).JPG|thumb|left|Kanisa Kuu la Mt. Stefano ni kati ya majengo mashuhuri ya Vienna.]]
Kwa karne nyingi Vienna ilikuwa mji mkuu wa dola kubwa. Wafalme na ma[[kaisari]] wa familia ya [[Habsburg]] walitawala Dola Takatifu ya Kiroma hadi 1806 na baadaye na maeneo makubwa ya Ulaya ya kusini-mashariki hadi 1918. Hivyo Vienna ina majengo mazuri inayotunza kumbukumbu ya enzi za kale sio tu mji mkuu wa Austria ndogo ya leo.