Tofauti kati ya marekesbisho "Methali"

35 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
no edit summary
d (Aliulinda "Methali" ([Kuhariri=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho) [Kuhamisha=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho)))
'''Methali''' (kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]] '''<big>مثل</big>''' ''mathal'') ni [[usemi]] mfupi wa mapokeo unaodokeza kwa muhtasari fikra au mafunzo mazito yatokanayo na uzoefu wa maisha ya jamii husika. Ni kauli fupi yenye pande mbili za fikra, kwa mfano: Mficha [[ugonjwa]], [[kifo]] humuumbua na mcheza kwao hutunzwa.
 
Kila [[taifa]] na kila [[kabila]] lina methali zake.