Wikipedia:Mwongozo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Bot: Migrating 2 langlinks, now provided by Wikidata on d:q915263
Ipagala KKKT Mkutano Mkuu wa kwanza June 2016
Mstari 1:
IPAGALA KKKT '''MUHTASALI WA KIKAO CHA MKUTANO MKUU WA KWANZA WA USHARIKA.'''
{{Wikipedia:Tutorial/TabsHeader|This=1}}
<div style="border:2px solid #A3B1BF; padding:.5em 1em 1em 1em; border-top:none; background-color:#fff; color:#000">
{{TOCright}}
 
JUNE 5, 2016
==Mwongozo wa kuhariri Wikipedia – Utangulizi==
MAHUDHURIO:
1. Mch. Simon Mtawa…….………………..Mwenyekiti
2. Mzee Mwambene W J……………………Katibu
3. Mzee Elisa Maro………………………….Mtunza Hazina
4. Ndugu Happiness Ngaoh…………………Mjumbe
5. Ndugu Halime Shembilu…………………Mjumbe
6. Mzee Rehema Kweka…………………….Mjumbe
7. Mzee Mary A. Shayo……………………..Mjumbe
8. Ndugu Janeth Mndeme……………………Mjumbe
9. Mzee Elihuruma Simon…………………..Mjumbe
10. Mzee Godwin Shembilu………………….Mjumbe
11. Ndugu Charles Ngoda……………………Mjumbe
12. Ndugu Dastan Makange………………….Mjumbe
13. Ndugu Rchard Njau………………………Mjumbe
14. Ndugu Anthony Simon…………………..Mjumbe
15. Ndugu Neema Makange…………………Mjumbe
16. Mzee Violeth Mwambenja………………Mjumbe
17. Mzee Nelli Mwang’oka………………….Mjumbe
18. Ndugu Lugano Mtawa……………………Mjumbe
19. Ndugu Daudi Gidioni…………………….Mjumbe
20. Mzee Rhoda Bendera…………………….Mjumbe
21. Ndugu Goodluck Mlai……………………Mjumbe
22. Ndug Anna Zakayo………………………Mjumbe
23. Ndugu Honorata Mola……………………Mjumbe
24. Ndugu Joyce Emmanuel………………….Mjumbe
25. Ndugu Joye Elikalia Maro………………..Mjumbe
26. Ndugu Happyness Kihiyo………………..Mjumbe
27. Ndugu Dora Masamu……………………..Mjumbe
28. Ndugu Eliuwingi Mwanga……………….Mjumbe
29. Ndugu Amen Mwakalobo………………..Mjumbe
30. Ndugu Judith Mbwambo…………………Mjumbe
31. Ndugu Grace A. Mushi…………………..Mjumbe
32. Ndugu Elirehema W. Lyimo……………..Mjumbe
33. Ndugu Sarah C. James……………………Mjumbe
34. Mzee Margareth Senkondo……………….Mjumbe
35. Ndugu Penina Peter Nsemwa……………..Mjumbe
36. Ndugu Edina Daniel………………………Mjumbe
37. Ndugu Lucy Raphael Maro……………….Mjumbe
38. Ndugu Mama Lacha………………………Mjumbe
39. Mzee Esther Ambakisye………………….Mjumbe
40. P/W E Ringo(Mstaafu)……………………Mjumbe
41. Mzee Neema R.Kileo……………………..Mjumbe
42. Ndugu Silivia Maganga…………………..Mjumbe
43. Ndugu Esther Chao………………………..Mjumbe
44. Ndugu Elly Chao…………………………..Mjumbe
45. Ndugu Neema I Swai………………………Mjumbe
46. Ndugu Nala Anthony………………………Mjumbe
47. Ndugu Esther Msigwa……………………..Mjumbe
48. Ndugu Vumilia Mbeyela………………….Mjumbe
49. Ndugu Ruth E. Mariki…………………….Mjumbe
50. Ndugu Baraka J Mtera…………………….Mjumbe
51. Ndugu Issack Mtera……………………….Mjumbe
52. Ndugu Amani E Matowo…………………Mjumbe
53. Ndugu Brian O. Kimaro…………………..Mjumbe
54. Ndugu Ibrahim Brown……………………Mjumbe
55. Ndugu Michael John……………………...Mjumbe
56. Ndugu Edson Ndossi……………………..Mjumbe
57. Ndugu Sweetbart Baruti………………….Mjumbe
58. Mzee Erick Kitali…………………………Mjumbe
59. Ndugu Prince Matowo……………………Mjumbe
60. Ndugu Tumaini Msami……………………Mjumbe
61. Ndugu Joel Benjamin……………………..Mjumbe
62. Ndugu Jackson Rogathe…………………..Mjumbe
63. Ndugu Msafiri Ibahati…………………….Mjumbe
64. Mzee Lenna Mtivike……………………...Mjumbe
65. Ndugu Dennis M. Johannes………………Mjumbe
66. Ndugu Charles Y. Samila…………………Mjumbe
67. Ndugu Nelson Mawala……………………Mjumbe
68. Ndugu George Andwilile…………………Mjumbe
69. Ndugu Peter J. Kazimoto…………………Mjumbe
70. Ndugu Enock Sovela……………………..Mjumbe
71. Ndugu Elisante Shuma……………………Mjumbe
72. Ndugu Abel Kisanga………………………Mjumbe
73. Ndugu Shemaya Bihopho…………………Mjumbe
74. Ndugu Godfrey Kilongo…………………..Mjumbe
75. Ndugu Paul Kitalika……………………….Mjumbe
76. Ndugu Datson Wilson……………………..Mjumbe
77. Ndugu Neema Ndove………………………Mjumbe
78. Ndugu Anna Newton……………………….Mjumbe
79. Mzee Grace Tweve………………………….Mjumbe
80. Ndugu George Stewart………………………Mjumbe
81. Ndugu Elyn Kashamba………………………Mjumbe
82. Ndugu Maria Michaelly……………………..Mjumbe
83. Ndugu Joseph K. Monde……………………Mjumbe
84. Ndugu Heaven Mossi……………………….Mjumbe
85. Dr. Francis Lutalala…………………………Mjumbe
86. Ndugu Loy Manase…………………………Mjumbe
87. Mzee Livingstone Mmari…………………..Mjumbe
88. Mzee Gipson Samu…………………………Mjumbe
89. Ndugu Judith Samu…………………………Mjumbe
90. Ndugu Israel Swai…………………………..Mjumbe
91. Ndugu Angelina M. Lutalala………………..Mjumbe
92. Ndugu Labikie Laizer……………………….Mjumbe
93. Ndugu Godfrey Machange………………….Mjumbe
94. Ndugu Yona Alfred…………………………Mjumbe
95. Ndugu Allen Mtenga……………………….Mjumbe
96. Ndugu Japhet Ishengoma…………………..Mjumbe
97. Ndugu Emmanuel Njeleka………………….Mjumbe
98. Ndugu Laurian H. G. Kihiyo………………..Mjumbe
99. Ndugu Eliudy M. Ngogo……………………Mjumbe
100. Mzee Lawrence Lema……………….Mjumbe
101. Ndugu Julius A Kweka……………….Mjumbe
102. Mzee Jackson Mmbando……………..Mjumbe
103. Mzee Laurent Kamayugi……………..Mjumbe
104. Ndugu Lilian T Uroki…………………Mjumbe
105. Ndugu John Z Uroki………………….Mjumbe
106. Ndugu Japhet Mabula…………………Mjumbe
107. Ndugu Methusela Gwimile………….Mjumbe
108. Ndugu Godfrey Matima……………..Mjumbe
109. Ndugu Margareth Matowo…………..Mjumbe
110. Ndugu Elisonguo Matowo…………..Mjumbe
111. Ndugu Elimsa Ndosi…………………Mjumbe
112. Ndugu Elibariki S. Misholi………….Mjumbe
113. Ndugu Solomon Ambakisye…………Mjumbe
114. Ndugu Dayoster Misholi…………….Mjumbe
115. Ndugu Frank A Senkondo………….Mjumbe
116. Ndugu Angela Mazigwa……………Mjumbe
117. Ndugu Paul Mkilanya……………….Mjumbe
118. Mzee Margareth Mkilanya…………..Mjumbe
119. Ndugu Christa E. Ngogo…………….Mjumbe
120. Ndugu Anna J. Ndosi………………..Mjumbe
121. Ndugu Gresi Paul……………………Mjumbe
122. Ndugu Olipa B. Baruti………………Mjumbe
123. Ndugu Nsajigwa Mwambene………..Mjumbe
124. Mzee Mary Tarimo………………….Mjumbe
125. Mzee Teckla Mushi………………….Mjumbe
126. Ndugu Fildon Julius…………………Mjumbe
127. Ndugu Gresi Julius…………………..Mjumbe
128. Ndugu Cecilia John………………….Mjumbe
129. Ndugu Beatrice John…………………Mjumbe
130. Ndugu Rhoda Sanga……………………..Mjumbe
131. Ndugu Tulibako Tulibonywa Mwaisuba..Mjumbe
132. Ndugu Mama Magumula………………..Mjumbe
133. Ndugu Fredrick Felix……………………Mjumbe
134. Ndugu Frank Felix……………………….Mjumbe
135. Ndugu Lightness Felix…………………...Mjumbe
136. Ndugu Lilian Charles……………………Mjumbe
137. Ndugu Evelyne Patrick…………………..Mjumbe
138. Ndugu Angel Benson..……………………Mjumbe
139. Ndugu Edda Green……………………….Mjumbe
140. Ndugu Regina Marco…………………….Mjumbe
141. Ndugu Josephina Malle…………………..Mjumbe
142. Ndugu Hawa Mwalukasa…………,,…….Mjumbe
143. Mzee Esther G Swai……………………..Mjumbe
144. Ndugu CharityMagreth A.Mbasha……….Mjumbe
145. Mzee Haika Meta…………………………Mjumbe
146. Ndugu Catherine Mhando…………………Mjumbe
147. Ndugu Vumilia Mwachanila……………….Mjumbe
148. Ndugu Suzan Kitwange…………………….Mjumbe
149. Ndugu Tumaini Kilawa……………………..Mjumbe
150. Ndugu Abigaeli Paschal…………………….Mjumbe
151. Ndugu Lusiana S. Kayoka…………………..Mjumbe
152. Mzee Annael R. Malya……………………Mjumbe
153. Ndugu Jemima…………………………….Mjumbe
154. Ndugu H. Masamu………………………..Mjumbe
155. Ndugu Marunda E Robert………………..Mjumbe.
156. Ndugu Sia Charles………………………..Mjumbe
 
'''Wikipedia''' ni kamusi elezo katika intaneti inayojengwa na jumuiya ya washiriki nawe unaweza kuchangia. Mwongozo huu utakusaidia kuwa mchangiaji wa Wikipedia.
 
Kurasa zifuatazo zitakupa mwongozo kuhusu mtindo na makala za Wikipedia zilivyo, na kukuelezea kuhusu jumuia ya Wikipedia na sera muhimu za Wikipedia na makubaliano.
 
Huu ni mwongozo wa kimsingi tu, na siyo maelekezo ya kirefu. Iwapo unataka maelezo zaidi, kuna viungo kuelekea kurasa nyingine kwa maelezo zaidi. Kuzisoma na kuzielewa, unaweza ukazifungua katika kivinjari tofauti au katika dirisha la tabo.
 
Kuna viungo kuelekea katika kurasa za "sanduku la mchanga" ambapo unaweza kujipatia uzoefu kile unachojifunza. Hebu jaribu vitu tofauti na uchezecheze! Hakuna mtu atakayechukizwa endapo utavuruga na jaribio katika maeneo ya vitendo.
 
<p style="font-size:85%">''Ilani: Mwongozo umetoa maelezo yanayofaa hasa kwa wale wanaotumia umbo la kurasa la MonoBook. Tangu Septemba 2010 umbo la kurasa kama inavyoonekana kwa watumizi wasioingia akaunti ni Vector. Mwongozo bado haujaandikwa upya. Wale walioingia akaunti zao wanaweza kubadilisha umbo la kurasa kwenye [[Maalum:Mapendekezo|mapendekezo yao]]. Umbo nyingine zinaweka viungo mahali tofauti kwenye ukurasa, na kama ni hivyo maelezo ya kupata viungo hayataeleweka moja kwa moja''.''</p>
 
<noinclude>
<div style="float:right; margin-top: 0.0em; margin-bottom:3px; background-color: #cee0f2; padding: .2em .6em; font-size: 130%; border:1px solid #A3B1BF;">'''Kifuatacho:''' '''[[Wikipedia:Mwongozo (Kuhariri)|Hebu tujifunze kuhusu kuhariri]]''' <span style="font-size: larger; font-weight: bold;">→</span>
</div></noinclude></div><noinclude>
[[Category:Mwongozo wa Wikipedia|*]]
 
 
<!-- Search for Wikipedia:Mwongozo -->
 
 
[[fr:Aide:Article]]
 
</noinclude>
 
 
 
 
 
 
 
2.'''KUFUNGUA KIKAO'''.
Mwenyekiti alifungua kikao kwa wimbo No 301(Mungu ni pendo) akasoma neno toka Yohana mt. 17:20-21 katika mahubiri alisisitiza sana tuwe na umoja ili tuweze kuijenga kazi ya Bwana kuufikia mwisho mwema. Kisha akafanya sala ilikuwa saa 4.20 Asubuhi. Katika mkutano huu mkuu wa Usharika hatukuwa na wageni wala hatukuwa na salamu mbalimbali toka kwenye kikundi chochote pia hatukuhakiki akidi kwani ulikuwa ni mkutano mkuu wa kwanza wa Usharika.
 
3.'''MWONGOZO WA SADAKA ZA JUMUIYA'''.
Mwenyekiti alimkaribisha Katibu ili aweze kutusomea agenda na ufafanuzi kuhusu akidi. Katibu alisoma agenda zote na katika kufafanua akidi alisema hatuwezi kuhakiki akidi kwani hatujawahi kufanya mkutano mkuu kama huu, hivyo leo hatahakiki akidi naomba mlipokee hilo. Jambo la pili ni kuwa tulikuwa na kamati iliyoandaa Mwongozo wa Sadaka za Jumuiya naomba niikaribishe kamati yetu ili iweze kuwasilisha mwongozo huu.
Kiongozi wa jumuiya aliwasilisha kisha yalikaribishwa maswali au maoni kama yapo: wajumbe waliuliza kama ifuatavyo:-
 
Mjumbe mmoja Aliomba kuwe na usawa katika kutoa rambirambi pindi misiba inapotokea. Alijibiwa:- Tulishapitia hilo na kulitafakari kwa kina kisha tukafikia maamuzi hayo kila Jumuiya itatoa rambirambi kulingana na fungu la Jumuiya lina ukubwa gani.
Aliuliza kwa nini zawadi ya kipaimara tumepangiwa Biblia na Kitabu cha tumwabudu Mungu wetu tu? Je Jumuiya ikitaka kutoa zawadi zaidi ya hizo inaruhusiwa? Alijibiwa: kwenye kipaimara hatuangalii uwezo wa Jumuiya bali tunaangalia usawa kwa wabarikiwa wote naomba mlipokee hivyohivyo. Walijibu viongozi wa kamati
Mwenyekiti aliongezea kuwa hata mavazi tunatamani tushone majoho kwa vijana wote tunaangalia hali ya fedha ikiruhusu mavazi pia yatakuwa ya aina moja kwa wote. Na yatakuwa ni mavazi ya kanisa kwa kila mwaka
Kwa nini tunakataliwa kuchukua sadaka na kutoa shukrani wakati pesa hizi ni za Jumuiya? Viongozi wa jumuiya walijibu kwa kifupi sana “huwezi kuchukua Sadaka ili kutoa Sadaka.”
Tunaomba uharaka katika utendaji wa kutekeleza hili kila Jumuiya inapoomba pesa ipewe kwa wakati. Mwenyekiti Alijibiwa Ofisi yetu haina urasimu hata kidogo hakuna maombi yanayochelewa ila viongozi wa jumuiya huomba pesa kisha hawaji kuchukua.
Kupitia mwongozo, tuainishe tuweke vipindi vya mapitio, napendekeza tuupitie kila baada ya miaka miwili. Alijibiwa tumelipokea tukiridhia linawezekana
Baada ya majadiliano hayo na mawasilisho hayo mkutano mkuu ukapitisha kwa kauri moja MWONGOZO WA SADAKA ZA JUMUIYA uwanze kutumika rasmi tarehe 5/6/2016.
 
4.'''TAARIFA YA KATIBU'''.
Mwenyekiti alimkaribisha Katibu ili asome taarifa ya katibu. Aliisoma kisha Mwenyekiti alikaribisha maswali au maoni kama yapo kupitia ukurasa kwa ukurasa. Maswali na maoni yakawa kama ifuatavyo:-
Mjumbe mmoja alitoa maoni kuwa huu ni mkutano mkuu wa kwanza wa Usharika tunaomba tungeandikiwa majina ya watumishi wote walioajiliwa na Usharika wetu pia yangeandikwa majina ya wazee wote wa Usharika. Alijibiwa tumelipokea tutafanya hivyo mkutano ujao.
Mjumbe mmoja alipenda kupata ufafanuzi wa Neno ‘Parish worker’anavyoelewa yeye Kiswahili chake ni Mhudumu sasa kwa nini sisi tuna Parish worker na wahudumu wawili? Kwa nini tusingesema wahudumu watatu au Parish worker watatu? Alijibiwa: Parish worker ni mtumishi wa neno lakini hawa wahudumu wengine ni wafanya usafi mazingira ya kanisa. Hatuwezi kuwaita Parish workers.
Ni lini tutaajiri Mwinjilisti ili aweze kumsaidia Mchungaji kazi akiwa hayupo? Alijibiwa hali ya kifedha itakapokuwa nzuri kwa sasa hatuna pesa.
Lini tutabadilisha jina la Usharika wetu? Alijibiwa hoja hiyo iliwahi kuletwa lakini wazee waliiikataa labda tunaweza kufanya hivyo kama italetwa tena na wazee wataikubali.
Kwa nini hatuna pesa wakati tumevuka malengo na tulibaki na pesa nyingi mwaka jana karibu sh 8m ? Alijibiwa pesa kwenye general account haijawahi kuzidi unayoiona imezidi ni pesa ya Jumuiya! Hatukuwa na mamlakanayo!
Kwa nini Kamati ya Miradi haimalizi kazi zake? Alijibiwa huwa tunaangalia kipaumbele kila mradi unapoanza ukifika hatua furani tunaingia kwenye mradi mwingine. Hatuingii kwenye mradi kwa makusudi ila kuna hoja yenye mashiko mf. Tulipokuwa tunalijenga na kumalizia hili kanisa ilikuja hoja ya kuongezewa kiwanja chetu hiki tulichonacho. Tulipokuwa tunaendelea na ujenzi wa fance tukaletewa hoja ya uuzwaji wa kiwanja nyumba ya mchungaji wazo hilo likawa jema kwetu tukahamia huko. Tulipokuwa tunaandaa harambee tukaona hatuna choo tukahamia huko. Lakini katika yote hayo tumejipanga kumaliza kazi zote mwaka huu.
Hoja ya nyongeza: Tunaomba kushauri msianze mradi mpya tena mpaka mmalize kazi zote ambazo bado hazijamalizika, alijibiwa ushauri wako tumeupokea.
Maturubai yamesaidiaje washarika? Na yalinunuliwa na pesa ipi? Alijibiwa ukiwa na Msiba unaokuhusu uliotokea nyumbani kwako unaruhusiwa kuja kuazima bure bila malipo.likini msiba uwe nyumbani na sio kwa jirani.
Maturubai haya tuliyanunua kwa ajili ya vikundi vya kwaya hapa Usharikani vilikuwa vinafanya mazoezi kwenye jua kali hapo nje lakini baada ya kununua havijayafunga. Na Tulinunua kutoka fungu la pesa ya Jumuiya.
Tuache sasa kujenga majengo ya muda hasa banda la Sunday school tujenge jengo la kudumu la kuabudia watoto wetu. Alijibiwa hatujawa na mpango mkakati wa namna ya kutumia kiwanja chetu hapa lakini tumeshaunda kamati tuko mbioni wakati wowote tutajenga jengo la kudumu la kuabudia watoto wetu. Na sababu hiyo ndio inayotufanya tujenge majengo ya Muda. Ambayo ghalama yake haizidi sh.milioni 3.
Kwa nini tusiimalishe nyumba iliopo kwenye kiwanja cha nyumba ya Mchungaji ili ahamie pale kuliko kuendelea kulipia kodi kila mwaka? Alijibiwa nyumba ile ni ndogo haimtoshi Mchungaji.
Mwenyekiti Aliwauliza akina mama kwa nini hamkutani? Katibu wa umoja wa akinamama ( Mzee Atupokile Mwalukasa) alijibu tuna changamoto nyingi sana moja ni sisi viongozi kuwa katika vikundi vingine kwa huduma nyingine wakati huohuo tunatakiwa kwenye umoja wa akina mama! Mwenyekiti alilikanusha hilo na kuwaambia mnayo siku yenu ya Jumatatu ambayo hamuingiliani na kikundi chochote kwa nini hamuonekani? Katibu umoja wa akinamama alishindwa kujibu. Mwenyekiti akatoa agizo kesho tarehe 06/06/16 niwaone hapa Usharikani.
Kwanini mliifuta kwaya ya Ebeneza? Maana tuliwekeza sana kwenye kwaya ile! Alijibiwa kwaya ile walimtukana Mchungaji tukawasimamisha, kama hiyo haitoshi baada ya kusimama wakaja kutufanyia fujo hapa Usharikani ndio maana tukafuta adhabu ya kuwasimamisha na kutoa adhabu nyingine ya kuifuta kwaya. Na mbaya zaidi viongozi wote wa kwaya walikuwa ni watoto wa familia moja na wazazi wao walikuwepo wakati wanamtukana mchungaji lakini hawakuwakataza watoto wao.na wameenda kushitaki mpaka jimbo nimeitwa nimeulizwa nikawaeleza kama ninavyowaeleza nyie na wanasema wanaomba kurudi tutawapokea maana walikuwa chini ya marudi ila hawataimba kwaya yoyote isipokuwa Kundini watarudi tutawapokea.
Ni vizuri tukapunguza urasimu kwaya wanapotaka vyombo inawezekana hilo linawakwaza wengi hata sasa! Alijibiwa tunawapenda sana vijana wetu na kwaya zetu zote. Hatuna urasimu wowote tunachopenda tujue idadi ya vyombo vilivyotoka ili vinaporudi viwe kama vilivyotoka. Kwa sababu vyombo vitakapopotea utaulizwa uongozi uliopo sio vikundi vya kwaya. Hivyo naomba waheshimu taratibu tu.
Kwa nini fungu la kumi tunatoa kila Jumapili, kwa nini tusitoe mala moja tu kwa mwezi? Nashauri tutoe mwisho wa mwezi tu. Alijibiwa tutalifanyia kazi na tutatoa maazimio.
Naomba kushauri na hili nimeliona kwenye baadhi ya sharika huko nilikotoka Arusha na Daressalaam tuanzishe mfuko wa maendeleo ya Usharika ili tusikwame kiuchumi katika kazi zetu zozote zile ni mtazamo wangu tu. Alijibiwa ni mawazo mazuri sana tunaomba fafanua zaidi tutoe vipi?
Tutachagua Jumapili moja mwanzo wa mwezi au mwisho wa mwezi au kila Jumapili vyovyote mtakavyoona inafaa. Akajibiwa asante tumelipokea tutatoa maazimio.
Nasisitiza Mfuko wa maendeleo utatutoa tulipo uanzishwe. Alijibiwa kitabu chetu cha Tumwabudu Mungu wetu kimetuonya tusiwe na utitiri wa Sadaka ndio maana tunatafuta namna ya kufanya ili kusiwe na utitiri wa sadaka. Tutatoa maazimio.
Nashauri Jumapili ya kwanza ya mwezi tutoe fungu la kumi. Alijibiwa hilo tutalifanyia kazi kwani sio kila mtu anapata kipato mwisho wa mwezi tukipeleka mwanzo wa mwezi itakuwaje kwa wale wanaopata pesa katikati ya mwezi? Tutakaa tutaandika maazimio mazuri. Naomba mtuamini.
Tunaomba Sadaka ya maendeleo ya Usharika itengenezwe bahasha na tuitumie kila wiki. Wajumbe wote waliafiki
Naomba tuanzishe mtaa Swaswa Mnarani kwani watoto wetu kule hawaji huku kusali. Alijibiwa tumelipokea.
Katika kuanzisha mtaa tujaribu kushirikiana na timu ya Uinjilisti ya Jimbo inaweza kutuambia wapi waumini wapo wengi na hilo litatusaidia sana. alijibiwa asante tumelipokea.
Tutafute viwanja ili tuweze kuwekeza maana muda si mrefu Dodoma inaweza kuwa jiji tutajikuta hatuna viwanja wakati Dodoma imeungana na Chamwino Ikulu. Alijibiwa asante tutalifanyia kazi.
Mwenyekiti aliwahoji wajumbe kabla ya kusoma taarifa ya Mchungaji kwamba tulianza kikao tukiwa wajumbe 156 lakini sasa wajumbe wamepungua hadi kufikia 45 je nisome taarifa hii au tuingie kwenye mengineyo? Wajumbe wote walisema tuingie kwenye mengineyo.
 
5.'''MENGINEYO'''
Mwenyekiti alikaribisha mengineyo yalisemwa kama ifuatavyo:
Kikao kama hiki kwa kawaida huko tulikotoka huwa kinakuwa na chakula cha mchana hata chai pia kwa watu wote kwa nini hakikuandaliwa?labda hii ndio sababu iliyofanya watu waondoke. Alijibiwa hatukuwa na pesa, pia hatukuwashirikisha washarika wiki iliyopia mtusamehe kwa hilo lakini wakati mwingine tutajipanga na tutaandaa chakula.
Tusiuharibu ukuta wa kanisa kwa kuumwagia maji ni afadhali maua yaondolewe kwenye ukuta huu maana utaharibika. Alijibiwa tumeshalitatua hilo na tutazidi kuuimalisha.
Tunaomba ghalama ya majoho: alijibiwa tutaileta wiki ijayo.
Tunaomba tuanzishe Saccos sasa. Alijibiwa hilo lipo kwenye mpango mkakati litafanyiwa kazi
Tunaomba wazee watunze Muda wanapoenda kusoma neno au kutangaza matangazo ya Usharika. Alijibiwa tumelipokea.
Naomba tuwekewe masomo ya siku hasa maneno ya waraka. Alijibiwa tunazo karenda za kanisa, ni wajibu wetu kuzinunua na kusoma neno humo
6.'''KUFUNGA KIKAO'''.
Mwenyekiti aliwashukuru sana wajumbe waliokaa hadi mwisho wa mkutano huu mkuu wa Usharika, kwani tulianza mkutano tukiwa na wajumbe 156 na tumemaliza mkutano tukiwa wajumbe 45 tu aliwapongeza sana wajumbe wote kwa uvumilivu waliouonyesha. Alisisitiza sana Umoja katikati yetu ili tuweze kufanikisha malengo yetu, alisisitiza pia moyo wa kujitolea kwa ajili ya kufanikisha kazi zetu, alisisitiza upendo katikati yetu. Tulifunga mkutano kwa kusema sala ya Bwana ilikuwa saa 9.05 Alasili. Hadi utakapoitishwa tena mwezi Januari 2017.
 
Nawasilisha.
 
 
 
 
 
 
 
 
 
Mch. Saimon Mtawa Mzee Mwambene W J.
MWENYEKITI KATIBU