Mahakama Kuu ya Kimataifa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q7801 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
{{Infobox UN
[[Picha:International_Court_of_Justice.jpg|thumb|250px|Jumba la Amani mjini Den Haag ni makao makuu ya mahakama kuu ya kimataifa]]
| name = Mahakama ya Kimataifa ya Haki<br>Cour internationale de justice
| image = International Court of Justice.jpg
| caption = Kasri la Amani, ambapo Mahakama ya Kimataifa ya Haki yanapatikana.
| type = Principal Organ
| acronyms = ICJ, CIJ
| languages = Kiingereza, Kifaransa
| head = ''Rais wa Mahakama ya Kimataifa ya Haki''<br />
[[Hisashi Owada]]
| Hadh = Yupo
| Ilianzishwa = 1945
| tovuti = [http://www.icj-cij.org/ www.icj-cij.org]
| parent =
| subsidiaries =
| commons = ICJ-CJI
| footnotes =
}}
 
'''Mahakama Kuu ya Kimataifa ya Haki''' ('''International Court of Justice''' kifupi '''ICJ''') ni taasisi kuu ya kisheria ya [[Umoja wa Mataifa]] (UM). Madaraka yake yamepangwa katika katiba ya UM na makao makuu yapo [[Den Haag]]. Iliundwa mwaka 1945 ikachukua nafasi ya mahakama ya kimataifa ya awali iliyofanya kazi chini ya mamlaka ya [[Shirikisho la Mataifa]].
 
Inaamua juu ya matatizo kati ya nchi. Ni tofauti na [[Mahakama ya Kimataifa ya Jinai]] inayoamua juu ya watu kama watendaji wa jinai maalumu.