Sherehe : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|250px|[[Picha takatifu ya Ufufuko, sherehe muhimu kuliko yote kwa Wakristo.]] '''Sherehe''' (kuto...'
 
No edit summary
 
Mstari 1:
[[imageFile:Resurrection (24)SowetoWineFestival.jpgJPG|thumb|250px|Sherehe ya [[Picha takatifudivai]] yahuko [[Ufufuko wa Yesu|UfufukoSoweto]], sherehe[[Afrika muhimu kuliko yote kwaKusini]] ([[Wakristo2009]]).]]
'''Sherehe''' (kutoka neno la [[Kiarabu]]) ni [[sikukuu]] muhimu inayoendana na [[shangwe]].
 
Sherehe nyingi zina asili katika [[dini]] mbalimbali na zimeathiri sana [[utamaduni]] husika. Kati ya sherehe za namna hiyo kuna [[Diwali]] ya [[Mabanyani]], [[Hanukkah]] ya [[Wayahudi]], [[Krismasi]] ya [[Wakristo]] na [[Eid al-Adha]] ya [[Waislamu]].
 
Sherehe nyingine zinaadhimisha mwendo wa [[mwaka]], hasa [[majira]], [[mazao]] ya [[kilimo]], au matukio ya [[historia]] ya [[jamii]] husika, kwa mfano [[ushindi]] muhimu [[Vita|vitani]], n.k.
 
Sherehe nyingi zinaadhimishwa mara moja tu kwa mwaka, linavyodokeza neno la [[Kilatini]] "sollemnitas" (kwa [[Kiingereza]] "solemnity").
 
==Katika Ukristo==
[[image:Resurrection (24).jpg|thumb|250px|[[Picha takatifu]] ya [[Ufufuko wa Yesu|Ufufuko]], sherehe muhimu kuliko yote kwa [[Wakristo]].]]
Katika [[madhehebu]] ya [[Kanisa la Roma]], jina hilo linatumika katika [[kalenda]] ya [[liturujia]] kutambulisha sikukuu za ngazi ya juu kabisa zinazoadhimisha [[fumbo|mafumbo]] ya [[imani]] na ya [[maisha |maisha]] ya [[Yesu Kristo]] au hata ya [[watakatifu]] wake, hasa [[Bikira Maria]].
 
Line 15 ⟶ 23:
 
{{mbegu-Ukristo}}
 
[[Category:Liturujia]]
[[Jamii:Sikukuu]]
[[Category:Liturujia]]