Napoli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 24:
Ni mji wa kale sana na [[jina]] la "Napoli" ni umbo la [[Kiitalia]] la "Neapolis" lililokuwa jina asilia la [[Kigiriki]]. Maana mji huu ulianzishwa na [[Wagiriki wa Kale]] mnamo [[karne ya 6 KK]]. Jina la Kigiriki ina maana ya "mji mpya".
 
Mji uko kando ya [[mlima]] wa [[volkeno]] wa [[Vesuvio]]. [[Wataalamu]] wengine wanaona hatari ya [[mlipuko wa volkeno]] wa karibuni unaoweza kuharibu sehemu za mji.
 
== Viungo vya nje ==