Sopa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Bot: Replacements: fix URL prefix
d wa wa --> wa using AWB
Mstari 16:
|latd= |latm= |lats= |latNS=S
|longd= |longm= |longs= |longEW=E
|website =
 
}}
'''Sopa''' ni jina la kata ya [[Wilaya ya Kalambo]] katika [[Mkoa wa Rukwa]], [[Tanzania]]. WakatiKwa wamujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 13,320 waishio humo. <ref>[http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Rukwa – Kalambo District Council]</ref>
 
Kata hii iliwahi kuwa sehemu ya [[Wilaya ya Sumbawanga Vijijini]] ikahamishwa kwenye wilaya mpya ya Kalambo mwaka 2012.
 
==Historia==
Sopa , ni neno lililotokana na njia, njia ambayo Wajerumani walikuwa wakiitumia katika misafara yao, njia ilikuwa ikikatisha pembezoni mwa kijiji,iliyokuwa ikitokea Lusaka,kupita Tatanda na kukatisha Sopa kuelekea [[Kasanga]].
 
Njia hiyo iliweza kutumiwa na wakazi tofauti ,awali ya yote kijiji kiliitwa SOTE, baada ya kuzoeleka na wakazi au Wajerumani ndipo kijiji kuitwa sopa. Wajerumani walizoea kuitumia njia na kuweza kuipamba kwa jina la Sopa, Wajerumani waliitumia njia hiyo katika karne ya 18, baada ya hapo ndio kijiji hicho kuitwa sopa.
 
Baada ya mwaka 2002 hesabu ya sensa katika kijiji hicho ilifanyika na kuweza kupata idadi ya wakazi 18,141 wa kijiji hicho, kijiji hicho kilitawaliwa na viongozi tofauti akiwemo Alfredy Mwanga Sokoni.
 
Kata ya Sopa ina jumla ya vijiji saba [7]kama vile Sopa, Mtuntumbe, Kasitu, Tatanda, Ilambila, Kalaela na Kamawe. Kuna jumla ya sekondari 2, ikiwemo Ulungu inapatikana kijiji cha Tatanda, pia shule ya sekondari Kanyele inapatikana kijiji cha Sopa. Utamaduni ya wakazi wa kata ya Sopa ni [[Wafipa]] wanaotumia lugha ya [[Kifipa]] katika mawasiliano.
 
 
==Marejeo==
{{marejeo}}
 
{{Kigezo:Mbegu-jio-rukwa}}
 
{{Kigezo:Kata za Wilaya ya Kalambo}}
 
[[Jamii:Mkoa wa Rukwa]]