Mein Kampf : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 15:
Kitabu kilitangazwa kama "biblia" ya harakati ya Manazi. Baada ya Hitler kuwa kiongozi wa serikali na dikteta kilichapichwa na kugawiwa na vyombo vya serikali; bwana na bibi arusi wote walipewa nakala. Kwa jumla kilitolewa zaidi ya mara milioni kumi.
 
Baada ya mwisho wa utawala wake 1945 kitabu kilipigwa marufuku katika Ujerumani hadi leo. InaruhusiwaMtu anaruhusiwa kuwa nacho lakini hakuna ruhsa kuichapishakukichapisha upya.
 
[[Category:Historia ya Ujerumani]]