Bud Spencer : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
2016.
No edit summary
Mstari 6:
| jina la kuzaliwa = Carlo Pedersoli
| alizaliwa = [[31 Oktoba]] [[1929]]
| kafariki = [[27 juneJuni]] [[2016]] (agemiaka 86)
| jina lingine = Bud Spencer
| kazi yake = wakili, muimbaji, muigizaji
Mstari 17:
| tovuti =
}}
'''Bud Spencer''' ( jina la kiraia: '''Carlo Pedersoli'''; *[[31 Oktoba]] [[1929]] - [[27 juneJuni]] [[2016]]) wasalikuwa [[muigizaji]] maarufu wa [[filamu]] za kiKi[[italia]],

Anafahamika kwa [[urefu]] wake wa 194 [[cm]] 194 na pia alicheza katika baadhi ya [[filamu]] za [[Spaghetti Westerns]]. <br>Spencer alikuwa kimafanikio saana kwa kuwa enzi ya [[ujana]] wake alikuwa muogeleaji mzuri wa maji, na pia alifaulu [[digrii]] ya [[sheria,]] Nahata alijisajiliakajisajili na lesesnileseni mbambalimbalimbali kama mwanasheria.
 
==Wasifu==
Bud Spencer alizaliwa kama Carlo Pedersoli [[Mji|mjini]] Naples[[Napoli]] (iliyopo[[mtaa]] wa [[Santa Lucia]]). Spencer amemuoaalimuoa Maria Amato mnamo mwaka [[1960]]; kwa pamoja wamezaa watoto watatu: Giuseppe (alizaliwa [[1961]]), Christine (alizaliwa [[1962]]) na Diamante (aliyezaliwa [[1972]]).
 
Spencer alianzsihaalianzisha kampuni ndogo ya uchukuzi wa mizigo, hasa katika viwanja vya ndege, kampuni ilijulakanailijulikana kama ''Mistral Air'' mnamo [[1984]], lakini baadae aliachana nayo na kwenda kununua kampuni ya kutengeneza nguo za watoto.
 
==Shughuli za uigizaji==
Bud Spencer katika [[filamu]] zake za awali alikuwa akiigiza kama moja kati ya walinzi wa falme la Praetoria, katika filamu ya Quo Vadis, ni filamu iliochezwa nchini [[Italia]], mnamo mwaka [[1951]].

Kwenye [[miaka ya [[1950]] hadi [[miaka ya [[1960]], Spencer ameonekana katika baadhi ya filamu za [[Italia|kiitalia]], lakini bado kazi zake zilikuwa zinaushindanizina ushindani mdogo hadi kufikia mwishoni mwa miaka ya [[1960]].
 
Spencer baadae akakutana na mwigizaji filamu mmoja aitwaye [[Terence Hill]], ambaye kwa pamoja wakafanya [[Filamu za Western|filamu nyingi tu za Western]] ya [[Italia]], maarufu kama [[spaghetti western]], na nyingine nyingi, ikiwemozikiwemo zile walizokuwa zikiziitwawakiziita kwa jina la [[Marekani|kiamrekakimarekani]],; filamu hizo ni kama zifuatavyo:
 
# God Forgives... I Don't! (1967)
Line 47 ⟶ 51:
# Troublemakers (1994)
 
Filamu nyingi za aina hii zilikuwa na majina mawilimawili, maana ilikuwa inategemea na nchi yenyewe au msambazjimsambazaji mwenyewe vile apendavyo. Baadhi zilitolewa katika muundo wa [[lugha]] ya [[Italia|kitalianoKiitalia]] na kubadilishwa au kutafsriwa kwa lengo la kwenda kuuza nchi za nje.
 
Filamu za namna hiyo zilileta mkusanyiko mkubwa wa wagizaji wa filamu kutoka nchi mbalimbali hasa zile za nchi za [[ulayaUlaya]]. Kwa mujibu wa IMDB wanasema kwamba waigizaji hao wa [[Italiano|kitaliano]]filamu za naKiitalia ambao siosi wa [[Italia|kitaliano]] wametengeneza takribani filamu 19.
 
Hizo filamu zilizodi (Mbali na zilizorodheshwa hapo juu) Upo uwezekano mkubwa wa kuwa na matoleo mawili ya kijerumani[[Kijerumani]] ya filamu ya "God Forgives... I Don't!" na "Boot Hill" ambayo ilimalizaliwa kabisa, kukata baadhi ya vipande na kuweka jina jipya ili iweze kusukumwa na haraka [[soko|sokoni]].
 
==Filamu alimocheza==
Line 110 ⟶ 114:
* [[Quo Vadis (1951 film)|Quo Vadis]] (1951) (as Carlo Pedersoli) .... Imperial Guard
 
==Viungo vya Njenje==
* [http://www.budterence.it/ Budterence.it Bud Spencer & Terence Hill Italian Website]
* [http://www.budterence.tk Budterence.tk]
Line 119 ⟶ 123:
{{DEFAULTSORT:Spencer, Bud}}
[[Jamii:Waliozaliwa 1929]]
[[Jamii:Waliofariki 2016]]
[[Jamii:Waigizaji Filamu wa Italia]]
[[Jamii:Waigizaji wa filamu za Western]]
[[Jamii:Watu walio hai]]