Said bin Sultani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Said bin Sultani''', pia Sayyid Said, ([[5 Juni]], [[1797]] - [[19 Oktoba]], [[1856]]) alikuwa [[Sultani]] wa [[Maskat]], [[Oman]] na [[Zanzibar]]. Mwaka

Umuhimu wake katika [[historia]] unatokana na kwamba mwaka wa [[1840]] alihamisha [[mji mkuu]] wa [[usultani]] wake kutoka [[mji]] wa [[Maskat]] hadi [[Stone Town]] huko [[Unguja]].

Alifahamika kwa kustawisha [[biashara ya watumwa]].
 
{{mbegu-mtu}}
Line 6 ⟶ 10:
[[Jamii:Waliofariki 1856]]
[[Jamii:Historia ya Zanzibar]]
[[Jamii:Sultani wa Zanzibar]]