Jina : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
HISTORIA FUPI YA MJI WA IFAKARA |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Jina''' ni [[neno]] au maneno ambayo wanapewa [[watu]], [[wanyama]], [[nchi]], [[kitu|vitu]] n.k. kwa ajili ya utambulisho.
==Majina ya watu==
[[Utamaduni]], kwa njia ya [[sheria]] au [[desturi]], ndio unaoratibu namna ya kupanga na kutumia majina ya watu, kwa kawaida tangu kuzaliwa.
Mara nyingi, pamoja na jina binafsi, mtu anatumia pia majina mengine kama vile la [[ukoo]] mzima, au la [[baba]] na la [[babu]].
Katika nchi na [[Kabila|makabila]] mbalimbali jina linaweza kubadilishwa, kwa mfano wakati wa [[ibada]] wa kuingizwa katika [[dini]] fulani, au kuongezewa, kwa mfano kutokana na [[ndoa]].
Mara nyingine jina linafupishwa, hasa kama ni refu mno, au linapambwa kama kwa kumbembeleza mwenye nalo.
{{mbegu}}
[[Category:Isimu]]
[[Category:Utamaduni]]
|