Mtume Thoma : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
{{Mitume 12 wa Yesu}}
{{Yesu Kristo}}
'''Thoma''' (au '''Didimo''', yaani '''[[Pacha]]''') alikuwa [[Myahudi]] wa [[karne ya 1]], mmojawapo kati ya [[Mitume wa Yesu]] anayeheshimiwa kama [[mtakatifu]], kwa namna ya pekee na [[Ukristo|Wakristo]] wa maeneo yaliyokuwa [[mashariki]] kwa [[Dola la Roma]], kuanzia [[Iraq]] hadi [[India]].
 
Inawezekana kwamba sababu yake ni [[kazi]] za [[utume]] alizozifanya huko hadi [[kifodini]] chake huko [[Chennai]] ([[Tamil Nadu]]) mwaka [[72]].
Mstari 9:
Alikuwa mtu mwenye [[tabia]] ya pekee iliyomvutia umaarufu hadi leo. Hasa alielekea kukata tamaa, kupinga [[hoja]] na kutosadiki kwa urahisi.
 
Mfano mmojawapo ni pale ambapo katika [[karamu ya mwisho]] alimjibu Yesu kwa wasiwasi: "Bwana, hatujui uendako; tutajuaje basi njia?" ([[Yoh]] 14:5). Ndipo Yesu alipojitambulisha kama njia: "Mimi ndimi njia, ukweli na uzima" (Yoh 14:6).
Hata hivyo, [[Injili ya Yohane]] ambayo ndiyo inayomzungumzia zaidi katika [[Biblia ya Kikristo]], inaripoti jibu lake la mwisho kwa [[Yesu]] mfufuka kama ifuatavyo(Yoh 20:28): "Bwana wangu na Mungu wangu"!
 
Hata hivyo, [[Injili ya Yohane]] ambayo ndiyo inayomzungumzia zaidi katika [[Biblia ya Kikristo]], inaripoti jibu lake la mwisho kwa [[Yesu]] mfufuka kama ifuatavyo (Yoh 20:28): "Bwana wangu na Mungu wangu"!" Katika [[Injili]] hakuna ungamo la wazi zaidi la [[umungu]] wa [[Yesu Kristo]].
 
Hata hivyo, Yesu alimuambia wana [[heri]] zaidi wanaosadiki bila kuona kwanza. Na ndilo lengo la [[Mtume Yohane|Yohane]] katika kuandika Injili yake: kuwafanya wasomaji wasioweza tena kumuona Yesu wamuamini na hivyo kupata [[uzima wa milele]].
 
==Marejeo==