Tofauti kati ya marekesbisho "1929"

10 bytes removed ,  miaka 4 iliyopita
d
kuondoa mabano using AWB
d (kuondoa mabano using AWB)
* [[23 Januari]] - [[John Polanyi]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Kemia]] mwaka wa [[1986]]
* [[30 Januari]] - [[Isamu Akasaki]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]] mwaka wa [[2013]]
* [[31 Januari]] - [[Rudolf Moessbauer]], (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]] mwaka wa [[1961]])
* [[7 Machi]] - [[Dan Jacobson]], mwandishi wa [[Afrika Kusini]]
* [[8 Machi]] - [[Hebe Camargo]], mwimbaji wa [[Brazil]]
* [[5 Aprili]] - [[Ivar Giaever]], (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]] mwaka wa [[1973]])
* [[4 Mei]] - [[Ronald Golias]], mwigizaji wa filamu kutoka [[Brazil]]
* [[3 Juni]] - [[Werner Arber]], (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Tiba]], mwaka wa [[1978]])
* [[1 Julai]] - [[Gerald Edelman]], (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Tiba]] mwaka wa [[1972]])
* [[14 Agosti]] - [[Matthias Joseph Isuja]], askofu mstaafu wa [[Jimbo Katoliki la Dodoma]], [[Tanzania]]
* [[15 Septemba]] - [[Murray Gell-Mann]], (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]] mwaka wa [[1969]])
* [[31 Oktoba]] - [[Bud Spencer]], mwigizaji filamu kutoka [[Italia]]
* [[2 Novemba]] - [[Richard Taylor]], (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]], mwaka wa [[1990]])
* [[9 Novemba]] - [[Imre Kertesz]], (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fasihi]] mwaka wa [[2002]])
* [[6 Desemba]] - [[King Moody]], mwigizaji wa filamu kutoka [[Marekani]]
* [[13 Desemba]] - [[Christopher Plummer]], mwigizaji wa filamu kutoka [[Kanada]]
 
== Waliofariki ==
* [[4 Aprili]] - [[Karl Friedrich Benz]], (mhandisi [[Ujerumani|Mjerumani]] na mtengenezaji motokaa)
* [[23 Septemba]] - [[Richard Zsigmondy]], (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Kemia]], mwaka wa [[1925]])
* [[3 Oktoba]] - [[Gustav Stresemann]], (mwanasiasa [[Ujerumani|Mjerumani]], na mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Amani]], mwaka wa [[1926]])
 
{{commonscat}}
62,394

edits