Ghosts (video) : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d Bot: Migrating 18 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q44477 (translate me) |
No edit summary Tags: Mobile edit Mobile web edit |
||
Mstari 1:
{{Filamu 2
| jina =
| picha = Ghosts MJ.jpg
| mtunzi = Michael Jackson<br />[[Stephen King]]
Mstari 8:
| mtayarishaji = Michael Jackson<br />Stan Winston<br />David Nicksay |
| msambazaji = Kingdom Pictures
| imetolewa = 9 Mei
| muda =
| lugha = Kiingereza
| bajeti = Haijulikani
Mstari 16:
}}
'''''
Filamu inaelezea hadithi ya bwana mmoja mwenye nguvu za giza, ambaye alilazimishwa kuuhama mji na meya wa mjini hapo. Filamu inajumlisha mfululizo mzima wa utaratibu wa kucheza muziki uliofanywa na Michael Jackson na "familia" yake ya mashetani. Kila wimbo kwenye filamu hii umechukuliwa kutoka kwenye albamu yake ya ''[[HIStory]]'' na ''[[Blood on the Dance Floor: HIStory in the Mix|Blood on the Dance Floor]]''. Filamu hii pia ni mashahuri kwa kuwa ndiyo mara ya kwanza kuonekana kwa msanii wa maigizo/rapa na filamu wa Kimarekani [[Mos Def]].
|