Korongo (Ciconiidae) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d robot Adding: tr:Leylek
Picha zimeongezwa
Mstari 8:
| faila = [[Chordata]] (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
| ngeli = [[Ndege|Aves]] (Ndege)
| oda = [[Ciconiiformes]] (Ndege kama [[korongo (Ciconiidae)|makorongo]])
| familia = [[Ciconiidae]] (Ndege walio na mnasaba na makorongo)
| bingwa_wa_familia = [[John Edward Gray|Gray]], 1840
| jenasi = Angalia katiba
}}
'''Makorongo''' hawa ni [[ndege]] wa [[familia]] ya '''Ciconiidae''' wenye domo refu na nono ([[korongo (Gruidae)|makorongo]] wa familia ya '''Gruidae''' wana domo fupi na jembamba zaidi). Mabawa yao ni marefu sana, yale ya [[korongo mfuko-shingo]] au [[marabu]] yana 3.2 m: marefu kuliko yale ya ndege wote ghairi ya [[tumbusi]] wa Andes ([[w:Andean Condor|Andean condor]]).
 
[[Spishi]] nyingine huishi mahali pa majimaji nyingine mahali pakavu. Hula [[chura|vyura]], [[samaki]], [[mdudu|wadudu]] na [[nyungunyungu]], hata ndege na [[mnyama|wanyama]] wadogo. Korongo hawa hawawezi kutoa sauti. Lakini kwa tago hupiga kelele na domo yao.
 
==Spishi wa Afrika==
* ''Anastomus lamelligerus'', [[Korongo Domo-wazi]] ([[w:African Openbill Stork|African Openbill Stork]])
* ''Ciconia abdimii'', [[Korongo Samawati]] ([[w:Abdim's Stork|Abdim's Stork]])
* ''Ciconia ciconia'', [[Korongo Mweupe]] ([[w:White Stork|White Stork]])
Mstari 30:
* ''Anastomus oscitans'' ([[w:Asian Openbill Stork|Asian Openbill Stork]])
* ''Ciconia boyciana'' ([[w:Oriental White Stork|Oriental White Stork]])
* ''Ciconia maguari'' ([[w:Maguari Stork|Maguari Stork]])
* ''Ciconia stormi'' ([[w:Storm's Stork|Storm's Stork]])
* ''Ephippiorhynchus asiaticus'' ([[w:Black-necked Stork|Black-necked Stork]])
Mstari 55:
Image:Kounotori 06f4471sv.jpg|Oriental white stork
Image:Ciconia maguari 3.jpeg|Maguari stork
Image:Stavenn Ciconia stormii 00.jpg|Storm's stork
Image:Jabiru Perth Zoo Sept 2005.jpg|Black-necked stork
Image:Ph-animals-jaburu-1.jpg|Jabiru
Image:Greater adjutant.jpg|Greater adjutant
Image:Mycteria americanaPCCA20060128-2139A.jpg|Wood stork
Image:Stork.jpg|Painted stork