1996 : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Waliofariki: kuondoa mabano using AWB
Mstari 8:
 
== Waliofariki ==
* [[28 Januari]] - [[Joseph Brodsky]], (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fasihi]], mwaka wa [[1987]])
* [[18 Machi]] - [[Odysseas Elytis]], (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fasihi]], mwaka wa [[1979]])
* [[11 Mei]] - [[Nnamdi Azikiwe]], [[Rais]] wa kwanza wa [[Nigeria]]
* [[6 Juni]] - [[George Snell]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Tiba]] mwaka wa [[1980]]
* [[15 Juni]] - [[Ella Fitzgerald]], [[mwimbaji]] [[mwanamke|wa kike]] [[Marekani|Mmarekani]] wa [[Jazz]]
* [[22 Julai]] – [[Vermont Royster]], [[mwandishi]] wa [[Marekani]] na mshindi wa [[Tuzo ya Pulitzer]], mwaka wa [[1953]]
* [[1 Agosti]] - [[Tadeus Reichstein]], (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Tiba]] mwaka wa [[1950]])
* [[8 Agosti]] - [[Nevill Mott]], (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]] mwaka wa [[1977]])
* [[9 Agosti]] - [[May Ayim]], mwandishi [[Mwafrika]] kutoka [[Ujerumani]] alijiua
* [[26 Agosti]] - [[Sven Stolpe]], mwandishi kutoka [[Uswidi]]
Mstari 21:
* [[26 Septemba]] - [[Geoffrey Wilkinson]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Kemia]] mwaka wa [[1973]]
* [[3 Novemba]] - [[Jean Bedel Bokassa]], Rais ([[1966]]-1976) na [[Kaisari]] (1976-[[1979]]) wa [[Jamhuri ya Afrika ya Kati]]
* [[21 Novemba]] - [[Abdus Salam]], (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]] mwaka wa [[1979]])
*[[23 Novemba]] - [[Mohamed Amin]], mpiga picha kutoka [[Kenya]]