5 Agosti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 13:
 
== Waliofariki ==
*[[374]] - [[Mtakatifu]] [[Nona]], [[mama]] wa [[Gregori wa Nazianzo]] na watakatifu wengine wawili huko [[Kapadokia]] ([[Uturuki]])
*[[1957]] - [[Heinrich Otto Wieland]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Kemia]] mwaka wa [[1927]]
*[[1962]] - [[Marilyn Monroe]], mwigizaji filamu kutoka [[Marekani]]
 
==Sikukuu==
[[Wakristo]] wengi, wakifuata [[mapokeo ya Roma]], huadhimisha [[kumbukumbu]] ya [[kutabaruku]] [[Basilika kuu la Bikira Maria]], na ya mtakatifu [[Nona]], [[mlei]]
 
==Viungo vya nje==