22 Agosti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
{{Agosti}}
Tarehe '''22 Agosti''' ni [[siku]] ya 234 ya [[mwaka]] (ya 235 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 131.
 
== Matukio ==
*[[1864]] - Nchi 12 zinakubali [[Mapatano ya Geneva]] zikihamasishwa na [[Henri Dunant]], mwanzilishaji wa [[Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu]]
Line 18 ⟶ 20:
*[[1958]] - [[Roger Martin du Gard]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fasihi]] mwaka wa [[1937]]
*[[1978]] - [[Jomo Kenyatta]], [[Rais]] wa kwanza wa [[Kenya]] ([[1964]]-[[1978]])
 
==Sikukuu==
[[Wakristo]] wengi, wakifuata [[mapokeo ya Roma]], huadhimisha [[kumbukumbu]] ya [[mtakatifu]] [[Bikira Maria Malkia]], na ya mtakatifu [[Yohane Wall]], [[padri]] na [[mfiadini]]
 
==Viungo vya nje==
{{commons|August 22|Agosti 22}}
* [http://news.bbc.co.uk/onthisday/hi/dates/stories/august/22 BBC: On This Day]
* [http://www1.sympatico.ca/cgi-bin/on_this_day?mth=Aug&day=22 On This Day in Canada]
{{mbegu-historia}}
 
{{DEFAULTSORT:Agosti 22}}
[[Jamii:Agosti]]