Mia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Mia''' (kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]]) ni [[namba]] inayoandikwa '''100''' ([[moja]] [[sifuri]] sifuri) kwa [[tarakimu]] za kawaida , ila kwa [[namba za Kirumi]] '''Ⅽ''' tu (kutokana na [[neno]] la [[Kilatini]] ''centum'', yaani ''mia moja'').
 
Ni [[namba asilia]] inayofuata [[Tisini na tisa|99]] na kutangulia [[Mia moja na moja|101]].
Ni [[mraba]] wa [[kumi|10]], hivyo inaweza kuandikwa 10<sup>2</sup>.
 
Namba 100 ni [[msingi]] wa [[asilimia]], 100[[%]] ikiwa kiwango kilichokamilika.
Mstari 9:
==Tanbihi==
{{Reflist}}
 
 
<!--- See [[Wikipedia:Footnotes]] on how to create references using <ref></ref> tags which will then appear here automatically -->
{{Reflist}}