Sikio : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 25:
 
Kuna pia matatizo ambayo hayaelewki bado vema na wataalamu kama [[tinnitus]] ambako mtu anasikia sauti ya kudumu ndani yasikio hata kama wenie hawawezi kusikia kitu. Tatizo nyingine ni upotevu wa usikivu upande moja unaotokea hasa kwa watu wanaobanwa na matatizo na shughuli nyingi. Matatizo haya yana upande wa kiroho na majaribio ya tiba huenda sambamba na kumpatia monjwa kipindi cha raha na mapumziko pamoja na athari nyingine za kutuliza moyo.
pia watumiaji wa earphones ni rahisi kuumia sikio ukitumia sauti kubwa
 
{{mbegu-biolojia}}