Fasihi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tengua pitio 979948 lililoandikwa na 41.204.186.30 (Majadiliano)
Mstari 1:
= '''Fasihi''' (kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]]) ni [[utanzu]] ([[tawi]]) wa [[sanaa]] ambao hutumia [[lugha]] ya mazungumzo au maandishi ili kufikisha (kuwasilisha) ujumbe kwa hadhira husika. =
 
Katika kazi yoyote ya fasihi ni lazima pawepo na ustadi wenye kuleta mvuto fulani kwa hadhira (wasikilizaji au wasomaji) husika. Ustadi (ufundi) huo unaovutia hadhira huitwa FANI, ambayo hujumuisha mambo kama vile:
*Muundo
Line 76 ⟶ 77:
|}
==Viungo vya [[Ngeli za nomino|nje]]==
*[http://chomboz.blogspot.co.uk/p/fasihi_4.html blogu ya Eric Ndumbaro kuhusu Fasiki simulizi ya Kiafrika]