Tofauti kati ya marekesbisho "Mlima"

14 bytes added ,  miaka 5 iliyopita
 
== Milima na maisha ==
Milima huwa muhimu kwa [[ekolojia]] ya uhai na maisha ya kibinadamu kwa sababu milima ni mahlimahali pa [[mvua]] nyingi kushinda mazingira. Mito mingi duniani inaanza milimamilimani na hupeleka [[maji]] kutoka huko kwenda tambarare na mabonde.
 
== Kuzaliwa na kupotea kwa milima ==
Volkeno kubwa Afrika ni Kilimanjaro.
 
Baada ya kutokea milima inaendelea kuwa midogo polepole kutokana na miamba kuvunjika na kusagwa kwa njia ya [[mmomonyoko]] . AthiraAthari zinazosababisha mmomonyoko ni hasa tofuti za halijoto pamoja na maji, upepo na barafu. Wakati wa joto mwamba hupanuka kiasi, wakati wa baridi hujikaza na kwa njia hii hutokea ufa ndani yake. Hapa maji yanaweza kuingia na kuganda wakati wa baridi yakizidi kupanusha ufa na kuvunja mwamba polepole.
 
=== Milima mirefu duniani ===
Mlima mrefu unaojulikana kabisa uko nje ya dunia kwenye sayari [[Mirihi]] unaitwa Olympus Mons na kuwa na urefu wa kilomita 27.
 
Mlima mrefu juu ya uso wa dunia huitwa [[Mount Everest]] (8,848m) uko mpakanampakani wamwa nchinnchi ya [[Nepal]] na [[Tibet]] katika [[Asia]].
Lakini mlima mrefu kabisa ni [[Mauna Kea]] katika [[fungovisiwa]] ya [[Hawaii]]. Unaonekana kama mlima mrefu wa Hawaii unaofikia mita 4,214 juu ya UB lakini ukitazamiwa kutoka chanzo chake unapoanza kuinuliwa juu ya mazingira yake chini ya bahari kilele chake kipo mita 10,205 mita juu ya mazingira tambarare yaliyoko chini ya bahari.
 
Anonymous user