Tofauti kati ya marekesbisho "Kool G Rap"

1 byte added ,  miaka 4 iliyopita
sahihisho dogo tu
d (Bot: Migrating 13 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q554168 (translate me))
(sahihisho dogo tu)
Wilson amekulia katika mazingira hafifu mno huko mjini [[Corona, Queens|Corona]] [[Queens]], New York akiwa na mtayarishaji mkongwe [[Eric B.]]<ref name="Kool G Rap 2008, p. 4">Kool G Rap, Will C., 2008, ''Road to the Riches Remaster Liner Notes'', p. 4.</ref> Katika mahojiano yake na jarida la [[The Source]] alieleza;
 
{{cquote|Kukulia mjini Corona ilikuwa kama Harlem ndogo, haikuwa vigumu sana kwa mtu mweusi kujihusisha na maisha ya mtaa hasa yale ya uendawazimu. Wakati nilivyokuwa kama na umri wa miaka 15 hivi, washikaji zangu hawakuweza kuvaa nguo nzuri na kwa kipindi hicho lazima utahitaji uwe na kiasi fulani cha pesa mufukonimfukoni mwako. Hicho ndicho kilichotukumba sisi sote, kulewa na mambo mabaya. Watu weusi wanashikwa na uchizi. Watu weusi wanaanza kuuza dawa za kulevya vichochoroni, na mambo hayo yote, ndiyo mambo yaliyokuwa yakiendelea huko mitaani... hatimaye maswahiba zangu wote wakawa wavutaji. Kila mtu alikuwa anandokaanadondoka kimaisha'. Maswahiba zangu wote wakaanza kufungasha vipuli vya bangi kila siku, kwa kifupi tulichizika kwa sana.<ref>|30px|30px|Kool G Rap|The Source Magazine, issue 72, Septemba 1995.Kool G Rap, The Source, 1995, issue # 72</ref>}}
 
Wakati fulani, Wilson alikuwa anamtafuta DJ, na kwa kupitia Eric B., akakutana na [[DJ Polo]], ambaye alikuwa anamtafuta MC wa kushirikiana nae.<ref name="Kool G Rap 2008, p. 4"/>