Papa Adeodato I : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:StAdeodatus I.jpg|thumb|right|Papa Adeodato I.]]
 
'''Papa Adeodato I''' (pia aliitwa '''Deusdedit''') alikuwa [[papa]] kuanzia [[13 Novemba]] [[615]] hadi [[kifo]] chake tarehe [[8 Novemba]] [[618]]. Jina la baba yake lilikuwa Stephanus.
 
Alimfuata [[Papa Bonifasi IV]] akafuatwa na [[Papa Bonifasi V]].
 
Anaheshimiwa na [[Wakatoliki]] na [[Waorthodoksi]] kama [[mtakatifu]].
 
[[Sikukuu]] yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake.
 
== Viungo vya nje ==