22 Novemba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
{{Novemba}}
Tarehe '''22 Novemba''' ni [[siku]] ya 326 ya [[mwaka]] (ya 327 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 39.
 
== Matukio ==
* [[1497]] - [[Vasco da Gama]] anapita ncha ya Kusini ya [[Afrika]] katika [[safari]] yake ya [[Bahari|baharini]] kutoka [[Ureno]] kwenda [[Uhindi]]
Line 14 ⟶ 16:
* [[1963]] - [[John F. Kennedy]], [[Rais]] wa [[Marekani]] aliuawa
* [[1981]] - [[Hans Krebs]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Tiba]] mwaka wa [[1953]]
 
==Sikukuu==
[[Wakristo]] wengi, wakifuata [[mapokeo ya Roma]], huadhimisha [[kumbukumbu]] ya [[watakatifu]] [[Filemoni]] na Apia, wanafunzi wa [[Mtume Paulo]], na ya mtakatifu [[Sesilia]], [[bikira]] na [[mfiadini]]
 
==Viungo vya nje==
{{commons|November 22|Novemba 22}}
* [http://news.bbc.co.uk/onthisday/hi/dates/stories/novemba/22 BBC: On This Day]
* [http://canadachannel.ca/todayincanadianhistory/index.php/novemba_22 Today in Canadian History]
{{mbegu-historia}}
 
{{DEFAULTSORT:Novemba 22}}
[[Jamii:Novemba]]