Isilandi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 74:
== Historia ==
Iceland iko mbali na [[bara]] la [[Ulaya]] na la [[Amerika]] tena katika [[mazingira]] ya [[baridi]]. Inaaminika haikuwa na watu kabisa hadi mwaka [[800]] [[BK]]. [[Wataalamu]] hawakubaliani kama ni ma[[baharia]] kutoka [[Norwei]] au [[Ueire]] waliobahatika kufika kisiwani na kujenga makao ya kwanza.
[[File:Norsemen Landing in Iceland.jpg|thumb|watu hawa walipofika nchini iceland karne ya 19
 
Hakika waliofika wengi kidogo walikuwa [[Waviking]] au Wa[[norwei]] wa kale katika [[karne ya 9]]. Kama Waeire walikuwepo walifukuzwa au kuwa sehemu za Waviking. Mtu wa kwanza aliyekumbukwa kwa jina alikuwa [[Flóki Vilgerðarson]].