Isilandi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 66:
Ingawa Iceland si sehemu ya [[rasi ya Skandinavia]], inahesabiwa kati ya nchi za [[Skandinavia]].
 
== WakaziJiografia ==
[[Picha:FlightOverVatnajoekull.jpg|120px|thumb|left|Vatnajökull ni [[barafuto]] kubwa kabisa ya Ulaya]]
Watu wa Iceland karibu wote ni Wa[[skandinavia]]. [[Lugha ya Kiiceland]] bado inafanana sana na ile ya [[Kinorwei]] cha kale kilicholetwa kisiwani na wakazi wa kwanza miaka 1000 iliyopita. Watu bado wanaelewa ma[[shairi]] yaliyotunzwa tangu zamani ile.
Iceland ina asili ya ki[[volkeno]]. Ni kisiwa kikubwa cha [[safu]] ya [[mgongo kati wa Atlantiki]] mahali ambako ma[[bamba]] ya [[bamba la Amerika ya Kaskazini|Amerika ya Kaskazini]] na [[bamba la Ulaya-Asia|Ulaya-Asia]] yanakutana. Kwa sababu hiyo kuna milima mingi, hasa [[volkeno]] ni nyingi. Kati ya volkeno mashuhuri za Iceland kuna [[Hekla]], [[Eldgjá]], [[Herðubreið]] na [[Eldfell]].
 
Kwa ujumla [[hali ya hewa]] ni baridi na [[barafuto]] zinafunika sehemu kubwa ya nchi. Hasa [[nyanda za juu]] ni baridi mno, hivyo hakuna [[mimea]]. Karibu makazi yote ya watu ni karibu na pwani.
Waiceland wengi (75%) ni [[Wakristo]] [[Walutheri]]. Kanisa la kitaifa la Kilutheri ni [[dini rasmi]] ya nchi. Wakristo wa [[madhehebu]] mengine, kama vile [[Wakatoliki]], wanafikia 12%. Kuna wafuasi wachache sana wa [[imani]] nyingine mbalimbali.
 
[[Picha:Reykjavík séð úr Hallgrímskirkju.jpeg|thumb|200px|Mji wa Reykyavik]]
Kusini mwa kisiwa haikuwa baridi mno kwa sababu ya [[mkondo wa ghuba]] linaloendelea kusukuma [[maji]] ya [[ghuba la Mexiko]] hadi Atlantiki ya kaskazini. [[Mkondo]] huo unapofikia Iceland si ya [[moto]] tena lakini [[vuguvugu]] kidogo hivyo inazuia baridi kali sana.
 
Volkeno zimesababisha kuwepo kwa [[maji ya moto]] mahali pengi. Waiceland wanapenda kuogelea nje katika ma[[bwawa]] hata wakati wa [[theluji]] katika maji ya moto kutokana na [[joto]] la kivolkeno. Joto hilo linatumika kidogo hata kwa [[kilimo]]; linapasha moto [[nyumba za kioo]] na kuwezesha mimea kuzaa matunda mwaka wote, hata wakati wa baridi kali. Kwa njia hiyo Iceland inavuna [[ndizi]] na ma[[chungwa]] yake!
 
== Historia ==
Line 88 ⟶ 92:
 
Baada ya vita Iceland ilikuwa nchi mwanachama ya [[NATO]] lakini haina wanajeshi hadi leo. Ilifanya [[mkataba]] na [[Marekani]] ya kuwa Waamerika wanapewa haki ya kutumia kituo cha ndege kisiwani na kwa upande mwingine wanaahidi kutetea Iceland.
 
== Utamaduni ==
Hadi leo Waiceland hawana majina ya pili au ya familia. Kila [[mtoto]] anapewa jina lake la kwanza halafu jina la [[baba]] - wakati mwingine pia jina la [[mama]]. Kama mto ni wa kiume "-son" (=mwana) itaongezwa, kama ni binti "-dottir" (binti).
 
Kwa mfano [[mwimbaji]] mashuhuri wa kike [[Björk Guðmundsdóttir]] alipewa jina la "Björk". Baba yake alikuwa Guðmund hivyo anatumia jina hili pamoja na "-dottir": Guðmundsdottir: "Björk binti Guðmund". Kama mwenyewe atamzaa [[binti]] anaweza kuitwa "Björkdottir" lakini mara nyingi jina la baba hutumiwa. [[Wanawake]] waneendelea na jina hili, hawaliachi wakati wa kuolewa.
 
== Miji ==
[[Picha:Reykjavík séð úr Hallgrímskirkju.jpeg|thumb|200px|Mji wa Reykyavik]]
[[Reykjavík]] ni [[mji mkuu]] wa Iceland pia [[bandari]] kubwa na [[kitovu]] cha [[uchumi]] na [[utamaduni]] wa nchi.
 
Miji mingine ni pamoja na [[Akureyri]], [[Kópavogur]], [[Hafnarfjördhur]], [[Keflavík]] na [[Vestmannaeyjar]].
 
== Wakazi ==
[[Picha:FlightOverVatnajoekull.jpg|120px|thumb|left|Vatnajökull ni [[barafuto]] kubwa kabisa ya Ulaya]]
Watu wa Iceland karibu wote ni Wa[[skandinavia]]. [[Lugha ya Kiiceland]] bado inafanana sana na ile ya [[Kinorwei]] cha kale kilicholetwa kisiwani na wakazi wa kwanza miaka 1000 iliyopita. Watu bado wanaelewa ma[[shairi]] yaliyotunzwa tangu zamani ile.
 
Waiceland wengi (75%) ni [[Wakristo]] [[Walutheri]]. Kanisa la kitaifa la Kilutheri ni [[dini rasmi]] ya nchi. Wakristo wa [[madhehebu]] mengine, kama vile [[Wakatoliki]], wanafikia 12%. Kuna wafuasi wachache sana wa [[imani]] nyingine mbalimbali.
== Jiografia ==
Iceland ina asili ya ki[[volkeno]]. Ni kisiwa kikubwa cha [[safu]] ya [[mgongo kati wa Atlantiki]] mahali ambako ma[[bamba]] ya [[bamba la Amerika ya Kaskazini|Amerika ya Kaskazini]] na [[bamba la Ulaya-Asia|Ulaya-Asia]] yanakutana. Kwa sababu hiyo kuna milima mingi, hasa [[volkeno]] ni nyingi. Kati ya volkeno mashuhuri za Iceland kuna [[Hekla]], [[Eldgjá]], [[Herðubreið]] na [[Eldfell]].
 
== Utamaduni ==
Kwa ujumla [[hali ya hewa]] ni baridi na [[barafuto]] zinafunika sehemu kubwa ya nchi. Hasa [[nyanda za juu]] ni baridi mno, hivyo hakuna [[mimea]]. Karibu makazi yote ya watu ni karibu na pwani.
Hadi leo Waiceland hawana majina ya pili au ya familia. Kila [[mtoto]] anapewa jina lake la kwanza halafu jina la [[baba]] - wakati mwingine pia jina la [[mama]]. Kama mto ni wa kiume "-son" (=mwana) itaongezwa, kama ni binti "-dottir" (binti).
 
Kwa mfano [[mwimbaji]] mashuhuri wa kike [[Björk Guðmundsdóttir]] alipewa jina la "Björk". Baba yake alikuwa Guðmund hivyo anatumia jina hili pamoja na "-dottir": Guðmundsdottir: "Björk binti Guðmund". Kama mwenyewe atamzaa [[binti]] anaweza kuitwa "Björkdottir" lakini mara nyingi jina la baba hutumiwa. [[Wanawake]] waneendelea na jina hili, hawaliachi wakati wa kuolewa.
Kusini mwa kisiwa haikuwa baridi mno kwa sababu ya [[mkondo wa ghuba]] linaloendelea kusukuma [[maji]] ya [[ghuba la Mexiko]] hadi Atlantiki ya kaskazini. [[Mkondo]] huo unapofikia Iceland si ya [[moto]] tena lakini [[vuguvugu]] kidogo hivyo inazuia baridi kali sana.
 
Volkeno zimesababisha kuwepo kwa [[maji ya moto]] mahali pengi. Waiceland wanapenda kuogelea nje katika ma[[bwawa]] hata wakati wa [[theluji]] katika maji ya moto kutokana na [[joto]] la kivolkeno. Joto hilo linatumika kidogo hata kwa [[kilimo]]; linapasha moto [[nyumba za kioo]] na kuwezesha mimea kuzaa matunda mwaka wote, hata wakati wa baridi kali. Kwa njia hiyo Iceland inavuna [[ndizi]] na ma[[chungwa]] yake!
 
{{Ulaya}}
Line 115 ⟶ 114:
[[Jamii:Iceland| ]]
[[Jamii:Nchi za Ulaya|Iceland]]
[[Jamii:Nchi za visiwa]]