9 Desemba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
{{Desemba}}
Tarehe '''9 Desemba''' ni [[siku]] ya 343 ya [[mwaka]] (ya 344 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 22.
 
== Matukio ==
* [[1961]] - Nchi ya [[Tanganyika]] inapata [[uhuru]] kutoka [[Uingereza]], huku ikiendelea kuwa na [[Elizabeth II wa Uingereza|Elizabeti II]] kama [[malkia]] wake kwa [[mwaka]] mmoja
Line 19 ⟶ 21:
* [[1945]] - [[Yun Chi-ho]], [[mwanasiasa]] kutoka [[Korea Kusini]]
* [[1971]] - [[Ralph Bunche]], mwanasiasa [[Marekani|Mmarekani]], na mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Amani]] mwaka wa [[1950]]
 
==Sikukuu==
[[Wakristo]] wengi, wakifuata [[mapokeo ya Roma]], huadhimisha [[kumbukumbu]] ya [[mtakatifu]] [[Juan Diego]]
 
==Viungo vya nje==
{{commons|December 9|Desemba 9}}
* [http://news.bbc.co.uk/onthisday/hi/dates/stories/december/9 BBC: On This Day]
* [http://canadachannel.ca/todayincanadianhistory/index.php/December_9 Today in Canadian History]
{{mbegu-historia}}
 
{{DEFAULTSORT:Desemba 09}}
[[Jamii:Desemba]]