Isilandi : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
|||
Mstari 105:
== Utamaduni ==
Hadi leo Waiceland hawana majina ya pili au ya [[familia]]. Kila [[mtoto]] anapewa [[jina]] lake la kwanza halafu jina la [[baba]] - wakati mwingine pia jina la [[mama]]. Kama
Kwa mfano [[mwimbaji]] mashuhuri wa kike [[Björk Guðmundsdóttir]] alipewa jina la "Björk". Baba yake alikuwa Guðmund hivyo anatumia jina hili pamoja na "-dottir": Guðmundsdottir: "Björk binti Guðmund". Kama mwenyewe atamzaa [[binti]] anaweza kuitwa "Björkdottir" lakini mara nyingi jina la baba hutumiwa. [[Wanawake]]
{{Ulaya}}
|