Fasihi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 46:
 
==Tofauti kati ya fasihi simulizi na fasihi andishi==
{| class="wikitable sortable"
|-
! Na. !! Kipengele !! Fasihi simulizi !! Fasihi andishi
Mstari 72:
| 11 || Gharama || Fasihi andishi ina gharama ndogo ukilinganisha na fasihi andishi || Fasihi andishi ina gharama kubwa ukilinganisha na fasihi simulizi
|-
| 12 || Wahusika || Fasihi simulizi mara nyingi hutumia wahusika wa kubuni wasiwasio binadamu || Fasihi andishi hutumia wahusika wa kubuni ambao mara nyingi ni binadamu
|-
| 13 || Uhai || Fasihi simulizi ni hai kuliko fasihi andishi || FasihiaFasihi andishi si hai kuliko fasihi simulizi
|}