Afyuni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 64 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q46452 (translate me)
Mstari 11:
 
== Mavuno ya afyuni ==
[[Picha:SlaapbolOpium R0017601pod cut to demonstrate fluid extraction1.JPGjpg|thumb||Tumba la mpopi limekatwa na utomvi mweupe unatoka nje; baada ya masaa utaganda kuwa kama mpira kahawia-nyeusi]]
Utomvi wa mpopi ni majimaji meupe yanayoganda haraka hewani kuwa dutu yenye rangi kahawia-nyeusi inayofanana na [[mpira]]. Katika hali hii huitwa afyuni bichi ilitumiwa tangu kale kama dawa la kutuliza maumivu likawezesha waganga wa wa Wahindi, Wachina na Waroma wa Kale kutekeleza upasuaji kwa watu. Pamoja na matumizi haya ilijulikana pia kama dawa la kulevya lakini hii ilikuwa matumizi ya pembeni tu hadi karne ya 15 BK.